Diwani wa kata ya ubungo CHADEMA, Jimbo la Ubungo

Unataka kumjua, haya cv yake hii;
1.Msukule.
2.Hajitambui.
3,Hana elimu.
4.Ni kibaka mzoefu wa manzese.
5,Mpiga debe mkongwe.
6.Jamaa huishi kwa kutegemea maandamano ili apore.
7,Amekulia manzese Uzuri,maeneo ya Mafichoni, Jirani na Mwembe mkole.

Duh!
"Caveat Emptor"
 
Wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa CV na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sanaaaaaaaaaaa (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati Mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

Naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. asanteni.
Huyo jamaa nimemsahau jina ila ni mhitimu wa shahada ya Ualimu UDSM,amehitimu mwaka 2010 baada ya kuhitimu akagombea udiwani,katika harakati zake UDSM alikua ndo kiongozi wa MAKUNJI(MIGOMO) siku zote za migomo alikua mstarri wa mbele kabisa katika kuendesha migomo na maandamano,na alikua anaweza kuwa-mobilize watu kwa kiasi kikubwa sana,umbo lake hilo la kibaunsa ni tangu anaanza masomo mpaka anamaliza.Ndo navyomjua mimi,kwa maisha yote ya pale sikuwahi kumjua jina
 
Huyu jamaa ni mshenzi tu. Akitaftwa kwa shida ndogo za kiofisi hapatikani na hana mda ---- huyu. Naomba uchaguzi ujao tulipige chini ---- hili. Yaani eti mnasifu kwa kuambatana na mbowe?? Mie nilifikili ametuletea maji kata ya ubungo?? Kumbe kwenda kuuza sura central police? Nyie waajabu sana. Mwaka kesho tuwape ccm atleast wana patikana ofisini kirahisi.yaani huyu jamaa ni hafai. Na mwanangu anasoma shule kidato cha tatu alimtafta asaini barua yake akakataa kabisa kuja ofisini. Hafai huyu hata kidogo kwaza maji ja fanya jitidatuletewa, pia hana cha kujiuniaaichotsaidia lbda kuwa baunsa wa mboe
 
Namjua vilivyo, Anaitwa Boniface, mzaliwa wa Ubungo maziwa, amezaliwa mwaka 1986, ana miaka 28. Amesoma shule ya Msingi Mabibo, sekondari sikumbuki, amemaliza Chuo Kikuu Dar Es Salaam mwaka 2010 with B.A Environmental Science. Ni mpambanaji tangu enzi hizooo mpaka Chuoni alipojipambanua na CHADEMA na kisha kugombea UDIWANI. PIA ni mwanamazoezi sana i.e ananyanyua vitu vizito (Baunsa) na kumfanya aonekane na mwili uliojaa na kukomaa kweli kweli . Kwa kifupi huyo ndiye Boniface, Diwani wa Ubungo.

Anaitwa Mh. Boniface Jacob, aisee aliwah kuwa mwalim wangu wa jogi. Anajiamini anajua kujenga hoja na ni msomi mzur tu, pia ukizingua ni mtata saana. ila yeye ni mwalim by professional (Ba Ed) tena wa history na jeography kama sikosei, Pia ana gym yake hapa ubungo maziwa. Tupo nyuma yako Mh. Ticha bonny,..
Donyongijape hapo kwenye blue kidooogo umeteleza,, mdau kayimukaa upo sawa,jamaa nilikua nakutana nae kwenye lectures za History na zile za Masomo ya education,
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ni mshenzi tu. Akitaftwa kwa shida ndogo za kiofisi hapatikani na hana mda ---- huyu. Naomba uchaguzi ujao tulipige chini ---- hili. Yaani eti mnasifu kwa kuambatana na mbowe?? Mie nilifikili ametuletea maji kata ya ubungo?? Kumbe kwenda kuuza sura central police? Nyie waajabu sana. Mwaka kesho tuwape ccm atleast wana patikana ofisini kirahisi.yaani huyu jamaa ni hafai. Na mwanangu anasoma shule kidato cha tatu alimtafta asaini barua yake akakataa kabisa kuja ofisini. Hafai huyu hata kidogo kwaza maji ja fanya jitidatuletewa, pia hana cha kujiuniaaichotsaidia lbda kuwa baunsa wa mboe

Nani kakwambia kuwa diwani analeta maji kwa waliomchagua?By theway huyo ni diwani wa oposition hivyo kazi yake ni kuishinikiza serikali iliyo madarakani ilete hiyo huduma kwani ndio inayokusanya kodi.
 
Wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa CV na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sanaaaaaaaaaaa (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati Mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

Naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. asanteni.

Kama wewe ni mwanaume halafu unamsifia mwanaume mwenzake kiasi hiki.
Nashawishika kama kweli kuna 'watu sio riski' huu ni ushoga utamsifu vipi mwanaume hivo ambae tunamuona dunian
 
Namjua vilivyo, Anaitwa Boniface, mzaliwa wa Ubungo maziwa, amezaliwa mwaka 1986, ana miaka 28. Amesoma shule ya Msingi Mabibo, sekondari sikumbuki, amemaliza Chuo Kikuu Dar Es Salaam mwaka 2010 with B.A Environmental Science. Ni mpambanaji tangu enzi hizooo mpaka Chuoni alipojipambanua na CHADEMA na kisha kugombea UDIWANI. PIA ni mwanamazoezi sana i.e ananyanyua vitu vizito (Baunsa) na kumfanya aonekane na mwili uliojaa na kukomaa kweli kweli . Kwa kifupi huyo ndiye Boniface, Diwani wa Ubungo.

Huyu jamaa ni mshenzi tu. Akitaftwa kwa shida ndogo za kiofisi hapatikani na hana mda ---- huyu. Naomba uchaguzi ujao tulipige chini ---- hili. Yaani eti mnasifu kwa kuambatana na mbowe?? Mie nilifikili ametuletea maji kata ya ubungo?? Kumbe kwenda kuuza sura central police? Nyie waajabu sana. Mwaka kesho tuwape ccm atleast wana patikana ofisini kirahisi.yaani huyu jamaa ni hafai. Na mwanangu anasoma shule kidato cha tatu alimtafta asaini barua yake akakataa kabisa kuja ofisini. Hafai huyu hata kidogo kwaza maji ja fanya jitidatuletewa, pia hana cha kujiuniaaichotsaidia lbda kuwa baunsa wa mboe
Mmmmmh, haya mdau pole sana
 
BONFAS JACOB.hata mimi ndio mwalimu wake ktk siasa.baada ya kushawishiwa na m.kiti wa wazee jimbo la ubungo na kujiunga na chadema.tulimshawishi agombee uongozi ktk chama,akafungua tawi ubungo kisiwani na yeye kuwa m.kiti wa tawi mwaka 2009 aligombea uenyekiti wa mtaa wa kisiwani na kuwa mshindi wa pili.mwaka 2010.akagombea udiwani na akawa ndio mshindi.kwa sasa ndio msemaji wa kambi ya upinzani ktk halimashauri ya kinondoni. pia uchaguzi wa chama mwaka huu amechaguliwa kuwa m.kiti wa chadema jimbo la ubungo.ana mke na mtoto mmoja.sio mwizi wala sio mgomvi ila ana hasira za haraka.mcheshi na anapemda matani sana.kabila ni mnyachusa. dini mkristo,ana elimu ya chuo taaruma ualimu.sio bausa.
 
Kama wewe ni mwanaume halafu unamsifia mwanaume mwenzake kiasi hiki.
Nashawishika kama kweli kuna 'watu sio riski' huu ni ushoga utamsifu vipi mwanaume hivo ambae tunamuona dunian

Duh! nimekuwa shoga tena, Jenga hoja usipayuke..na utambue na kamusi ya matusi magumu nitakulilishia mpaka PM wee jilegeze tuuuuu kimaku hapa.
 
BONFAS JACOB.hata mimi ndio mwalimu wake ktk siasa.baada ya kushawishiwa na m.kiti wa wazee jimbo la ubungo na kujiunga na chadema.tulimshawishi agombee uongozi ktk chama,akafungua tawi ubungo kisiwani na yeye kuwa m.kiti wa tawi mwaka 2009 aligombea uenyekiti wa mtaa wa kisiwani na kuwa mshindi wa pili.mwaka 2010.akagombea udiwani na akawa ndio mshindi.kwa sasa ndio msemaji wa kambi ya upinzani ktk halimashauri ya kinondoni. pia uchaguzi wa chama mwaka huu amechaguliwa kuwa m.kiti wa chadema jimbo la ubungo.ana mke na mtoto mmoja.sio mwizi wala sio mgomvi ila ana hasira za haraka.mcheshi na anapemda matani sana.kabila ni mnyachusa. dini mkristo,ana elimu ya chuo taaruma ualimu.sio bausa.

mkuu makwilo na wewe unaweza kujisifu ni mwalimu wa mtu yoyote kwenye siasa .....

are you really serious. ...!!!!!

kwani kaka makwilo huyu boni sindo alikufanya ukakimbia chadema .....au nimesahau
wewe sindo ulisema bro boni ali kucharaza kisawasawa
au umesahau alivyokusulubu......hahaha

mkuu naona kama unataka kurudi chadema vileeeee
 
wakuu salama!

Tuliotoka makanisani na tuliopo bado, tumsifu yesu kristu? Na bwana yesu asifiwe?

Hoja yangu ni ndogo tu naomba kumjua kiasi diwani huyu kwa cv na chochote? , kwasababu

1. Kuna siku nilikutana naye ubungo stand nilipenda sana style yake ya kushungulikia mambo kwa ujasiri mkubwa sanaaaa yani anajiamnini sanaaaaaaaaaaa (mpaka raha kumuona)

2. Pia juzi wakati mh. Mbowe anakwenda kuhojiwa police diwani huyu alikuwepo nyuma yake kama bodyguard wake kwa sura mbuzi na ngumu, ujasiri mkubwa, ukakamavu uliotukuka, nakujiamini sanaaa mpaka raha na mengine mengi

naomba kumjua kiasi nijifunze kitu kutoka kwake. Asanteni.

anaitwa boniface jacob classmates wangu kigonsera high school (2005-2007) pia udsm (2007-2010). TAngu tukiwa shule kigonsera jamaa hapendi kubuluzwa. Mwalimu kajange na kabuje watakuwa wanamjua vizuri kamanda huyu kutoka bweni la tembo
 
Back
Top Bottom