Diwani wa kata ya Urugu ndugu Simon Tyosela kupitia chadema na mwenyekiti wa chadema ndugu Abdala athuman pamoja na wanachama wengine wa chadema ndugu Samwel Nalogwa na Samson Mayagila wameihama rasmi CHADEMA na kujiunga na CCM. Taarifa zaidi nitawaletea.