Diwani wa CHADEMA na wafuasi wake wahamia CCM Iramba Singida

Yap kwa speed hii mpya ya CCM, chama cha migambo aka CDM wataimba. Wanadhani wapo juu ya sheria watajiju mwaka huuuuuuuuuuuuuu. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
alifikiri CDM wanagawa hela - aendoke na njaa zake - CCM tunagawa hoja hatugawi pesa na wote wenye harufu ya ufisadi watoke haraka.
 
<p>
Hakika ccm ni nyumbani kwao na ninahakika watarudi wooote ikiwemo katibu wao.warudi tujenge nchi kwa pamoja.huyo diwani anastahili pongezi nyingi sana maana kana kwamba amepata ufunuo flani hivi.ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee !
</p>
<p>&nbsp;</p>njaa kali ccmagamba zero
 
Hata wakati wa2010 wengi walinunuliwa lakini CDM kikashinda kwenye sanduku na NEC ikatoa rais wake,kama kuna mtu alikuja CDM kwa bahati mbaya,kufuata pilau,tisheti,kanga,usafiri n.k ajiandae kurudi alikotoka

CDM ni chama cha wapigania haki,wazalendo na wenye maono ya mbali sana,CDM si sehemu ya kuishi mafisadi,mabwanyenye, wachumia tumbo na magamba


Hilo somo lieleweke.
 
Na bado watahama wengi kwani siku zinavozidi kwenda ndio hata wale walioingia kwa mkumbo wanaanza kuelewa kama CDM ni genge la wahuni. Huyo diwani kawasoma na kawaelewa. Chama kimekuwa kama ni cha familia ya mbowe. Siyo chama cha wananchi ni cha koo
 
Back
Top Bottom