Diwani wa Ccm Monduli afariki dunia

Giddy Mangi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
830
184
Diwani wa kata ya Engutoto Ccm amefariki tarehe 8 march 2011,CDM tujipange tuchukue kata hiyo.
 
Habari Za asubuhi wana JF.
poleni wana engutoto na sisi tunajipanga kuchukua jimbo letu maana hakuna mlichokifanya.
 
Diwani wa kata ya Engutoto Ccm amefariki tarehe 8 march 2011,CDM tujipange tuchukue kata hiyo.

Ungeanza na kuwapa pole wafiwa badala ya kusherehekea kifo.

Sote tumetokea kwa Mungu na hakika kwake tutarejea; R.I.P. Mh. Diwani na poleni sana wafiwa.
 
Diwani wa kata ya Engutoto Ccm amefariki tarehe 8 march 2011,CDM tujipange tuchukue kata hiyo.

Utu kwanza ndugu yangu, nadhani ilitakiwa uonyeshe japo uchungu wa kumpoteza binadamu mwenzako, hivi unajua uchungu walionao wapendwa wake. Sijaipenda hii
 
Habari Za asubuhi wana JF.
poleni wana engutoto na sisi tunajipanga kuchukua jimbo letu maana hakuna mlichokifanya.
ifm mbona unatisha hivyo?.poleni wafiwa hilo jimbo ni letu ccm bado wanajibizana mara sitta, sumaye,hizza sie tusonge mbele
 
duh naona sasa mawazo ya wanajamvi yameanza kuganda....anyway,sio wote waliao(wanaliolia) kwenye msiba wana uchungu/huzuni..R.I.P
 
Kwa niaba ya wana cdm arusha natoa pole sana kwa familia na wananchi wa engutoto monduli kwa msiba mzito. Ndiyo njia ya kila mmoja wetu. Bwana ametoa na ametwa... Jina lake lihimidiwe.

Sasa tujipange kuwakomboa wananchi wa engutoto..
 
RIP diwani wa Engutoto,
Naungana na wale waliomtaka mtoa mada ajali ubinadamu kwanza kabla ya kushabikia kuchukua kata.Sisi wote ni binadamu na itikadi za vyama zisitufanye tusahau ubinadamu wetu.
Tuunganike pamoja kwenye matatizo na tulumbane kwa hoja pale tunapotofautiana katika itikadi zetu.
Asante.
 
Kama huyu diwani ni wa chi chi emu sina neno , tusubiri na jk aage earth.
 
Nadhani tumkosoe tu mtoa mada si kumtukana maana siku nyingine atajua jinsi ya ushabiki na siasa.
 
May almight God rest our fellow in his eternal peace.Poleni sana ndugu wa marehemu.
 
Diwani wa kata ya Engutoto Ccm amefariki tarehe 8 march 2011,CDM tujipange tuchukue kata hiyo.

Ushabiki wa vyama umekufanya upoteze hata utu wako? hakika haya ni maajabu, ndio maana waTz wameanza kuamini kuwa CDM dhamira yenu siyo nzuri kwa taifa. Vilaza kama huyu wapo wengi sana CDM. The way unavoshabikia kama vile kifo chake mmekipanga.
 
ifm mbona unatisha hivyo?.poleni wafiwa hilo jimbo ni letu ccm bado wanajibizana mara sitta, sumaye,hizza sie tusonge mbele

Mama kubwata sikutegemea kama na wewe umesha poteza utu kiasi hicho.Jamani utu kwanza. watu wamefiwa jana huenda hata hajazikwa wewe unaanza kushabikia chadema itie timu pale. mambo hayo simsubiri mpaka itakapo tangazwa? Ebu chukulia angekuwa aliyefariki ni ndugu yako halafu unaona utumbo kama huo wako na ulioandikwa na wengine ungejisikiaje?
 
Back
Top Bottom