Diva wajibizana vibaya na Diamond Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL

Uwoya alikuw anamsema vibaya san mondi had Mondi akaamuwa kumla.Labda na huyu nae anataka kuliwa dats Y nae anatumia formula ya Uwoya
 
Wanatafta kick hao..kma diva angekuw anamdiss mond insta c ingkuw kitambo tushaonaga...
Hawana lolote wanatafta HEADLINEZ..

Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya, Diva ameanza kumdiss Diamond siku nyingi sana kipindi cha Tuzo za MTVMAMA. Diamond hakuwahi kumjibu chochote, siku ameshinda tuzo Diva huyo huyo kaanza kujipendekeza anamuweka kutwaaa kwenye account yake ya instagram mara anampongeza, mara anaweka marafiki zake wa nje za nchi ambao ni fans wa diamond, bado kijana kakausha, mwisho Diva akataka kufanya interview na Diamond, mameneja wake wakakataa kiaina, since there siku ona kingine zaidi ya haya ya leo ambayo nayo sikuyasikiliza nimekutana na huu umbea baadae sana.

Kwa hili mnamponda Diamond kwakuwa tu hammpendi ila sijawahi kuona popote Alipowahi kumjibu Diva.
 
Alisema "you ar not my type"??.... Kwan wanakazwaga na "type" zao? Au yy wote waliomkaza ni "type" zake?... I dont think so
 
Nahis kama sielewi elewi maaana huyo diva simjui na hata mond so mnatuyeyusha tu humu ni great thinker jaman hayo yapelekeni insta au facebook
 
Kama hujui kitu ni bora kukaa kimya, Diva ameanza kumdiss Diamond siku nyingi sana kipindi cha Tuzo za MTVMAMA. Diamond hakuwahi kumjibu chochote, siku ameshinda tuzo Diva huyo huyo kaanza kujipendekeza anamuweka kutwaaa kwenye account yake ya instagram mara anampongeza, mara anaweka marafiki zake wa nje za nchi ambao ni fans wa diamond, bado kijana kakausha, mwisho Diva akataka kufanya interview na Diamond, mameneja wake wakakataa kiaina, since there siku ona kingine zaidi ya haya ya leo ambayo nayo sikuyasikiliza nimekutana na huu umbea baadae sana.

Kwa hili mnamponda Diamond kwakuwa tu hammpendi ila sijawahi kuona popote Alipowahi kumjibu Diva.
Umenena vyema mkuu....diva nusu ale kichapo jinsi daimond alivyo kuwa kapanic.
 
Diva jamani simuwezi! Msichana mshari yule! Kamdiss sana Diamond, nimeeleza kidogo hapo juu, naona uvivu kueleza, huwa anamdiss halafu anafuta post.

Au Diamond ana kisirani cha ugomvi wa Esma na Diva.
Naona Diva akijikomba sana kwa Kiba akaacha
 
Duh kuna watu wamenifurahisha na comment wanaonyesha kua uyo Diamond anaweza kumkaza binti yoyote napata wasiwasi siku watawakuwadia dada zao wakazwe pia maana midume mizima imekomaa utadhani uyu jamaa achezei vya mbavu siku akianza na 0713 naona kuna vijana wenzetu watapanga foleni nyambafuuuuu...!
 
Diamond hana jipya kazi kujikomba kwa wanasiasa,elimu hana na bado dogo xan, mwisho wake na yeye ni otober 25.
Nina hasira naye kwa kauli yake ya janaa jukwaani kama nin!
Ameishi Tandale leo hii anajifanya mjanja kwa lipi?
Mashabiki zake wamemkacha wengi tuu.
 
Back
Top Bottom