Luambano wa Clouds FM awashauri Simba kuachana na Mo Dewji

Kwangu mi naona hili suala la kumlaumu mo kwa kila jambo halina afya njema. Hatutaki turudi kule tulipotoka wakati Mhina Kaduguda anatoa pesa zake mkononi kununua Maharage na Chapati kwa ajili ya wachezaji wapate kifungua kinywa asubuhi. Muacheni Mo kwa ajili ya ukuaji wa soka letu.
 
Mpira ni biashara, gsm kaonyesha hivyo mo akiondoka itakuwa fursa kwa watu wengine kujitokeza.
Jiulize wakati Sheria inasemaje wawekezaji wasiwe chini ya watatu kwanini anataka yeye peke yake awe mwekezaji.
 
Kwangu mi naona hili suala la kumlaumu mo kwa kila jambo halina afya njema. Hatutaki turudi kule tulipotoka wakati Mhina Kaduguda anatoa pesa zake mkononi kununua Maharage na Chapati kwa ajili ya wachezaji wapate kifungua kinywa asubuhi. Muacheni Mo kwa ajili ya ukuaji wa soka letu.
Kwa hiyo hakuna wawekezaji wengine hapo 5imba zaidi ya Mwamedi? Mwamedi atoke halafu tuone kama hakutatokea watu wakuweka hela nyingi hapo 5imba.
 
Toka ameondoka MZee HansPope kwenye suala la recruitment simba wamefeli asilimia tisini ya sajili zao. Yule Mzee alikuwa Mafia sana. Sasa hivi simba suala la recruitment sijui wamemuachiaAhemd Alyy. Kazi ipo tarehe 20.
 
Back
Top Bottom