Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 801
- 546
Kama ana nia ya kusoma A level mtafutie shule za private zipo nyingi tu zinafanya vizuri. Ila kama hatojali mpeleke chuo. Kuna vyuo vya biashara, uhasibu, maendeleo ya jamii, sheria, ugavi, nk anaweza kusoma kulingana na performance zakeMkuu ameomba chuo cha ualimu hajachaguliwa pia. Nini kifanyike