Div III.25, hajapata post form five wala chuo

Kuchasoni Kuchawangu

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
603
340
Msaada kwa huyu binti ambaye hajapata selection ya form five wala NACTE wakati ana div III.25. Namba take ya mtihani ni S4279/0029 tatizo liko wapi?

Je aki apply tena atachajiwa pesa ya kutuma maombi? Mwenye ufahamu juu ya hili anisaidie.
 
Kwani mwongozo wa NACTE uko vipi? Kuhusu selection ya NECTA umri wake vipi? anaweza kupata second selection, wanaoifahamu watakuja kukuelezea. Ikishindikana mtafutie private school.
 
Serikalini wanachaguliwa wenye combi zilizokubali. Labda kama kutatokea upungufu wa wanafunzi mashuleni anaweza kuchaguliwa kwa second selection. Cha kufanya, anza kumtafutia shule za private huku akisikilizia kama second selection. Au aende chuo diploma
 
Mkuu ameomba chuo cha ualimu hajachaguliwa pia. Nini kifanyike
 
nacte wamewaacha wengi wenye sifa mkuu
tena kuna wengine walikua na div2 waliomba CO na hawakupata sasa sijui nacte ktk selection wamezingatia kigezo kipi? labda ajalibu tena kuomba kwakutumia ile comfirmation code yake coz mwisho 5/08
 
Nimeona lakini hajachaguliwa. Ana miaka 18 ana C 4, D 2, F 2 hajabance comb
Ndugu Kuchasoni Kuchawangu

Binti Ana "pass" zaidi ya minimum "pass" zinazohitajika. Bado ana nafasi ya kusonga mbele.

Moja ya sababu ya kutochaguliwa yaweza kuwa ni - Chuo/ vyuo alivyo chagua kuwa na idadi kubwa ya walio omba.
Mfano- angalia hii picha Chuo cha MPWAPWA, kina waombaji 2,793, wakati uwezo wa chuo ni watu 300 tu.

chuo2.jpg

Je nini cha kufanya.
- Login in kwenye "profile" yake.
- Futa vyuo alivyo chagua awali na kukosa.
- Fanya uchaguzi upya wa vyuo, Tarehe ya mwisho ni 05/08/2016 -

NB
:Vyuo vilivyobakia kwenye "system" ni vile tu vyenye nafasi (Havikuwa na waombaji wengi), na pia vingi ni Private

chuo1.jpg

nacte wamewaacha wengi wenye sifa mkuu
tena kuna wengine walikua na div2 waliomba CO na hawakupata sasa sijui nacte ktk selection wamezingatia kigezo kipi? labda ajalibu tena kuomba kwakutumia ile comfirmation code yake coz mwisho 5/08
Ni kweli wengi wenye sifa wamekosa choa. Angalia mfano picha ya kwanza
 
inaweza ikawa suala la vyuo au la!
kwanini nimesema hivyo mkuu
mfano ndugu yangu aliomba NIT
ngazi ya diploma
akitumia chet cha NTA LEVEL4(basic technician cert ya procurement & logistics)
kwa upande wa matokeo ya o'level
hist c, english c, geography d, motor vehicle machanics d, litera engl d, maths d, kisw f na civics f
screen short inaonesha total capacity ktk hiyo koz ni 400
na walio apply hawafiki 35
na amekosa
je, hapo kunan mkuu maana hata sababu ya kufuta siioni na skrin had mda huu nikiangali profile bado iko hvyo mkuu
EBU TUSAIDIE HAPO
 
Back
Top Bottom