display ya laptop HP Pavilion dv6700

TMAN8

Senior Member
May 25, 2012
165
41
Wadau natafuta display ya hiyo laptop hapo, yangu imekufa so nataka kureplace. Inapatikana wapi na kwa shilingi ngapi? hata kama ni used ili mradi inafanya kazi
 
TMAN8 nakusihi sana sana usinunue kioo kwanza kabla hujaipeleka kwa mtaalamu maana hizo model mimi nimekutana nazo tatu tofauti kinachokufa ni nvidia graphics chipset inakuwa baadhi ya njia zimeachia kidogo toka kwenye mainboard na kusababisha isifanye kazi. nitakupa mtihani mmoja kuthibitisha hilo, kama kweli ni kioo kimekufa basi unganisha monitor ya kawaida na uone kama kweli inaonyesha lkn tofauti na hapo ni hiyo chipset itakuwa kama nilivyoeleza hapo juu.

ukiingia youtube hebu google hp pavilion blank screen utapata jibu, mfaano..
 
Last edited by a moderator:
asante kwa ushauri wako mkuu, ila mimi nina uhakika ni kioo, coz hata hapa ndiyo hii hii ninayoitumia kupostia isipokuwa natumia external monitor, najua sana tatizo la GPU kwa dv series, na huwa mimi najua kutatua hilo. na tatizo huja pale unapojaribu kuforce windows 7 wakati motherboad imedizainiwa kutumia windows vista, ikinachofanyika mashine inakuwa ina over heat mpaka ile chipset ya graphic inakua inaachia. so niko sure hapa nahitaji kioo
 
Kuna jamaa wako maeneo ya kinondoni wanadili na kutengeneza computer na laptop, mpigie simu jamaa mmoja namba zake hizi atakusaidia haraka 0716098870. Maeneo ya hospital ya Dr mvungi
 
Mimi nahitaji motherboard , ilianza kunisumbua display sasa naona imekufa kabsa. kama nikikosa motherboard tuwasiliane nikuuzie yote
 
HP pavilion sio computer.hazifai hata kidogo.huwa zinashida ya board.usigangaike Ku repair. Itakufa soon.workshop zip zaidi ya 20.board zinapata moto balaa.
 
HP pavilion sio computer.hazifai hata kidogo.huwa zinashida ya board.usigangaike Ku repair. Itakufa soon.workshop zip zaidi ya 20.board zinapata moto balaa.

Hata mimi imenifia iyo computer....yan hizi cyo computer zimeliza watu wengi xana.
 
mkuu hiyo ni brand new ama iko katika condition gani? na bei ni fixed ama maelewano? thanks
 
hiyo yako imekufa board kivipi? kwamba haiwaki kabisa?
 
Back
Top Bottom