Discontinue chuoni

Yap kwani ulikua unasoma diploma? Hv ukiwa unaenda safari kuelekea moshi,ukaishia segera kwahyo ndio utakua umefika? Piga buku mkuu coz sio mtoto wa kigogo wewe!
 
Kuna jamaa alidisco Coet.Akajiendea zake Mzumbe kusoma Bcom.Sasa anakula bata kampuni flani.Angekata tamaa na kujutia Disco,angekuwa wapi leo?
 
Kuna jamaa alidisco Coet.Akajiendea zake Mzumbe kusoma Bcom.Sasa anakula bata kampuni flani.Angekata tamaa na kujutia Disco,angekuwa wapi leo?

wapo wengi tu mkuu,my cousin pia alidakwa sua akiwa mwaka wa 3 veterinary medicine,akajiendea zake muhimbili,leo ni mmoja wa madaktari wazuri tu hapo muhimbil hospital.uckate tamaa kijana,kuteleza co kuanguka,mshukuru mungu kwa kila kitu tu.
 
bongo bana...hilo li nchi .. kweli mkuu sio haki wakupe diploma usepe , ! kuna rafiki yangu aliwahi kuniuliza kwa nini nilikimbia muhimbili... nikamwambia huku niliko kuna tofauti kubwa sana na muhimbili... muhimbili unatungiwa mtihani ili ufeli ... wapate kupunguza idadi ya watu while huku nilipokimbilia wana nitayarisha kuwa dactari...

wabongo wamefika kipindi wanadhani chuo chenye kutoa DISCO nyingi basi ndio chuo noma.. kumbe ****** mtupu!!
 
Yap kwani ulikua unasoma diploma? Hv ukiwa unaenda safari kuelekea moshi,ukaishia segera kwahyo ndio utakua umefika? Piga buku mkuu coz sio mtoto wa kigogo wewe!

jamii forum bwana, hata kama ulinuna utacheka tuuu!!, thanx you make me my day.
 
ungekuwa chuo cha ifm wangekupa Higher Diploma, wewe kwanini ulijiingiza huko?
 
Chukua transcript yako tafuta vyuo vya nje, unaenda kumalizia mwaka wa mwisho bila tatizo. Wako watu wamefanya hivyo na sasa maisha yao ni mazuri sana. Pia unaweza kumalizia kwa distance learning kwenye hivyo vyuo vya nje. mifumo ya elimu ya nchi zetu haiko supportive sana.

Huo ndo ushauri wangu. I hope utakusaidia
 
Back
Top Bottom