King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,604
- 68,502
mzumbe kuna bcom kweli?
Alimaanisha BAF.
mzumbe kuna bcom kweli?
Is t fair kudisco mwaka wa mwisho alafu hupewi hata diploma?
Basi register kufanya diploma, at least the minimum you prefer!Bt think of the yearz u hav lost mkubwa..
ha ha haTeh teh teh,we ka co mcoet bac utakua msuaso.
mzumbe kuna bcom kweli?
Sijui mkuu,what I Know kamaliza accountancy Mzumbe,UDSM kuna watu wanasoma Bcom humo ndani yake unakuta kaspecializi Finance,Accountancy.mzumbe kuna bcom kweli?
Chukua transcript yako tafuta vyuo vya nje, unaenda kumalizia mwaka wa mwisho bila tatizo. Wako watu wamefanya hivyo na sasa maisha yao ni mazuri sana. Pia unaweza kumalizia kwa distance learning kwenye hivyo vyuo vya nje. mifumo ya elimu ya nchi zetu haiko supportive sana.
Huo ndo ushauri wangu. I hope utakusaidia
Concept nzima ya disco inaonyesha udhaifu katika uendeshaji wa vyuo vyetu. Mtu apite kote huko na ku disco chuo kikuu? tena mwaka wa mwisho?
Sie bado tuna ile dhana batili ya kwamba "mitihani migumu na wanafunzi kufeli ndiyo matokeo ya elimu bora" wakati ukweli ni kwamba wanafunzi kufeli kunaonyesha kushindwa kwa mfumo wa elimu.
Is t fair kudisco mwaka wa mwisho alafu hupewi hata diploma?
bongo bana...hilo li nchi .. kweli mkuu sio haki wakupe diploma usepe , ! kuna rafiki yangu aliwahi kuniuliza kwa nini nilikimbia muhimbili... nikamwambia huku niliko kuna tofauti kubwa sana na muhimbili... muhimbili unatungiwa mtihani ili ufeli ... wapate kupunguza idadi ya watu while huku nilipokimbilia wana nitayarisha kuwa dactari...
wabongo wamefika kipindi wanadhani chuo chenye kutoa DISCO nyingi basi ndio chuo noma.. kumbe ****** mtupu!!
Kwani walikudahili ili upate Diploma?Is t fair kudisco mwaka wa mwisho alafu hupewi hata diploma?