Je kuna diploma holders ambao wamekwisha pata mkopo?,maana hali huku siyo shwari majina chuoni yametoka ila langu na ya wenzangu watano niliyotokanao diploma hayapo na programmes tulizopata wote ni priority vile vile mimi nipo kwenye kundi lile la wanafunzi ambao ni single parent,sasa nataka kufahamu ni kwetu tu au ni diploma holders wote?