Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 81,527
- 94,495
Kaka mkombozi ni Open University hakuna namna
Usahihi wake ukoo wapJitahidini kujisomesha japo kwa kujikongoja wapo wenzenu hali ni mbaya zaidi yenu kuweni makini na wapole Mheshimiwa yuko sahihi sana
Acha ukengee boyaa weTatizo lenu ni moja mna haraka sn na maisha,, umeshapata dip mfno ya clinical mdcn, tulia piga kaz miaka 3 baada ya hapo unaenda kusoma hutokua na presha na wala hutohitaj mkopo! bt nyie mwk huu unamaliza,, mwk huo huo untk usome degree, sa diploma ulisoma ya nn? au mnalitumia kama daraja baada ya kufeli? achen haraka haraka na maisha.
Kwa kwelView attachment 426208 kwa hiki kipengele cha Cluster I, tunapaswa kupewa Mkopo.