GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,102
Wanabodi, Watu waliokosa maarifa ndio wanaojadili habari za dini kwenye Taifa hili la Tanzania
Msongo wa mawazo au stress zinazidi kuharibu vijana wengi, Hizi dini zina historia yake, Wengi wamerithishwa dini toka kwa wazazi wao,Ukiuliza historia ya dini zao hawana maelezo ya kutosha, Wamejawa misimamo na itikadi za kibaguzi
Je, Wale wahindi na baadhi ya watu wa Asia Dar es salaam,Singida na Mtwara mbona wao hawalalamiki kukosa teuzi serikalini au watu wao kupewa nafasi serikali,Hawa wahindi na wa Asia ni watanzania halisi zaidi ya wengi wetu kwani wameshiriki kujenga Taifa hili miaka mingi sana
Je, Uwiano wa dini utatoka wapi wakati kila mtu ana uhuru wa kuchagua, Marekani Beyonce ana dini yake na kanisa lake,Je waumini wa Beyonce mwanamuziki miaka 100 ijayo nao watalazimisha teuzi hapa Marekani.
Karne ya ishirini na moja kuna baadhi wamegeuka vituko kama sio vituko basi katuni,Hawa wenye mawazo ya udini na ukabila ni washamba na wapumbavu,Mtu safi kichwani unaoa au kupenda mtu wa dini au kabila lolote.
Nikijibiwa haya maswali nitakuwa wa kwanza kuhubiri dini na ukabila Tanzania
Mosi, Kwanini waislamu washika dini sana wanajiunga na vikundi vya kigaidi mfano Alshabab,Alqaida na Isis ,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?
Pili ,Kwanini wakristo washika dini sana wanakuwa wabaguzi sana na kuwaita wenzao wa Mataifa,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?
Je, Historia ya uislam watu wanafahamu na kufundishwa au kujisomea mfano kwanini watu wanavaa kanzu badala ya suti msikitini,kwanini watu wanazikwa kwa sanda badala ya sanduku
Je, Jangwani kulikuwa na miti ya kutosha ili kutengeneza masanduku,Hakukuwa na miti ya kutosha, hivyo waislamu wanafundishwa historia ya kuzika bila sanduku
Je, historia ya ukristo inafundishwa vyema,Hapo awali watu walisali makanisani? Sinagogi na kanisa la leo yanautofauti gani?
Haya madhehebu yanayopiga kelele sasa na maspika makubwa yanaelewa chimbuko lao ni kanisa katoliki?
Tuzisome historia za dini zetu hizi,Tukizijua vizuri hakika hatutajadili mambo ya dini au ukabila au kuhusisha Taasisi ya Rais na mambo ambayo watu hawajui historia yake
Historia za hizi dini ukizisoma vizuri unaweza ukaacha hata kwenda Msikitini au Makanisani,Jinsi uislamu ulivyoenezwa kwa mapanga na mashoka utacheka sana ,Ukristo ulivyowashughulikia wanasayansi waliosema dunia duara wao wakiamini Dunia ni kama meza