Dini na ukabila zisihusishwe na Taasisi ya Rais

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,102
Wanabodi, Watu waliokosa maarifa ndio wanaojadili habari za dini kwenye Taifa hili la Tanzania

Msongo wa mawazo au stress zinazidi kuharibu vijana wengi, Hizi dini zina historia yake, Wengi wamerithishwa dini toka kwa wazazi wao,Ukiuliza historia ya dini zao hawana maelezo ya kutosha, Wamejawa misimamo na itikadi za kibaguzi

Je, Wale wahindi na baadhi ya watu wa Asia Dar es salaam,Singida na Mtwara mbona wao hawalalamiki kukosa teuzi serikalini au watu wao kupewa nafasi serikali,Hawa wahindi na wa Asia ni watanzania halisi zaidi ya wengi wetu kwani wameshiriki kujenga Taifa hili miaka mingi sana

Je, Uwiano wa dini utatoka wapi wakati kila mtu ana uhuru wa kuchagua, Marekani Beyonce ana dini yake na kanisa lake,Je waumini wa Beyonce mwanamuziki miaka 100 ijayo nao watalazimisha teuzi hapa Marekani.

Karne ya ishirini na moja kuna baadhi wamegeuka vituko kama sio vituko basi katuni,Hawa wenye mawazo ya udini na ukabila ni washamba na wapumbavu,Mtu safi kichwani unaoa au kupenda mtu wa dini au kabila lolote.

Nikijibiwa haya maswali nitakuwa wa kwanza kuhubiri dini na ukabila Tanzania

Mosi, Kwanini waislamu washika dini sana wanajiunga na vikundi vya kigaidi mfano Alshabab,Alqaida na Isis ,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Pili ,Kwanini wakristo washika dini sana wanakuwa wabaguzi sana na kuwaita wenzao wa Mataifa,Hii ndio nguzo kuu ya upendo?

Je, Historia ya uislam watu wanafahamu na kufundishwa au kujisomea mfano kwanini watu wanavaa kanzu badala ya suti msikitini,kwanini watu wanazikwa kwa sanda badala ya sanduku

Je, Jangwani kulikuwa na miti ya kutosha ili kutengeneza masanduku,Hakukuwa na miti ya kutosha, hivyo waislamu wanafundishwa historia ya kuzika bila sanduku

Je, historia ya ukristo inafundishwa vyema,Hapo awali watu walisali makanisani? Sinagogi na kanisa la leo yanautofauti gani?

Haya madhehebu yanayopiga kelele sasa na maspika makubwa yanaelewa chimbuko lao ni kanisa katoliki?

Tuzisome historia za dini zetu hizi,Tukizijua vizuri hakika hatutajadili mambo ya dini au ukabila au kuhusisha Taasisi ya Rais na mambo ambayo watu hawajui historia yake

Historia za hizi dini ukizisoma vizuri unaweza ukaacha hata kwenda Msikitini au Makanisani,Jinsi uislamu ulivyoenezwa kwa mapanga na mashoka utacheka sana ,Ukristo ulivyowashughulikia wanasayansi waliosema dunia duara wao wakiamini Dunia ni kama meza
 
Historia za hizi dini ukizisoma vizuri unaweza ukaacha hata kwenda Msikitini au Makanisani,Jinsi uislamu ulivyoenezwa kwa mapanga na mashoka utacheka sana ,Ukristo ulivyowashughulikia wanasayansi waliosema dunia duara wao wakiamini Dunia ni kama meza
Mkuu, ni mada nzito sana hii, lakini umepiga kiupana sana kiasi kwamba umeififisha mada na kupunguza uzito iliyonao.

Kwa mfano, kama ungejikita zaidi na mifano hai ya hapa hapa nyumbani, ingesaidia sana.

Na katika yote hayo uliyoandika, umesahau dini yetu kuu zaidi, pengine kuliko dini zote ulizozijadili (hii ni kwa maoni yangu). Dini yetu kuu, mkuu wangu 'Gussie', inapashwa kuwa utaifa wetu, uTanzania wetu. Hii dini ndiyo inayoziunganisha dini zote ulizozitaja hapo, na laiti kama tungelielewa hilo, pasingekuwepo na matatizo haya tunayoyahofia mara kwa mara.

Mungu wa dini zote, ni Mungu wetu sote waTanzania - kwa nini atake sisi kwa sisi tusambaratike kwa visingizio vya kwamba kila mmoja wetu anaye Mungu wake tofauti na huyu anayelisimamia taifa letu la Tanzania.

Hivyo ndivyo nionavyo mimi.
 
Wakati wa JK mlibwata sana kuwa alikuwa mdini , wakati huu mkiambiwa JPM mdini mnaanza kuandika kauli mbofu mbofu , yaani kwenu nyie kunya anye kuku lakini akinya bata kaharisha, ebu tulia dawa ikuingie
Ninavyojua serikal hii unachaguliwa kwa uwezo na uchama. Udini hapana.
Kassim majaliwa, dada ummy, jafo, waziri wa ulinzi, na manaibu wazir wengine ambao ni dini nyingine kabisa tofauti na mkuu.
Bado mnalalamika?
Mzee amejitahid kubalance sana.
Kazi utapeqa kwa bidii yako ya ufanya kazi.
 
Kassim Majaliwa
Samia Suluhu

Ibrahimu Juma -Jaji

Top three hao wakristo umeona

Mimi sio mshabiki wa siasa za Udini au ukabila, lakini hao uliowataja wana maamuzi yoyote kulingana na uhalisia?
 
Mosi,Kwanini waislamu washika dini sana wanajiunga na vikundi vya kigaidi mfano Alshabab,Alqaida na Isis ,Hii ndio nguzo kuu ya upendo ?
Katika kujadili n vyema kuulizia mafunzo ya dini yasema nini badala ya kuuliza wa waumini wa dini wanafanya nini. Dini hutoa muongozo. wafuasi wanaweza kufanya ya kwao kinyume na mafunzo ya dini yao
Je historia ya ukristo inafundishwa vyema,Hapo awali watu walisali makanisani? Sinagogi na kanisa la leo yanautofauti gani?

Ukiangalia tafsiri utakuta sinagogi ni msikiti wa Wayahudi ie sehemu ya kuabudia. Ni lugha tu ila maana ni ileile
Tuzisome historia za dini zetu hizi,Tukizijua vizuri hakika hatutajadili mambo ya dini au ukabila au kuhusisha Taasisi ya Rais na mambo ambayo watu hawajui historia yake

Kwa hili natamani Rais mwenyewe aione.
 
Mtoa mada umeanza vibaya mada yako kwa kusema hovyo kuwa mtu asie na akili hujadili suala la dini , wewe si muislam na hivyo huna uchungu wala hasara kwa waislam kunyimwa nafasi za elimu na ajira tangu tupate uhuru na ukweli tunamtakia Baba yetu yule apewe adhabu inayomstahili na Allah kwa kusimika mizizi ya mfumo kristo uliopotosha imani thabiti za mamilioni ya watu!

ndugu zangu wakristo wote nawaalika tafadhali someni hapa chini mjifunze kitu japo kimoja!!!

Mosi ikumbukwe mkristo akifa sisi waislam hatusemi alale mahali pema peponi bali kwakuwa amekufa akiwa kafiri tunasema alale mahali panapomstahili kama Mzee Ruksa aliposema kuhusu hayati Mwalimu , hatusemi ulale pema peponi kwakuwa tuna asilimia mia mbili tunajua maiti huyo kafiri anaenda kuuvaa moto wa milele na hatuna cha kufanya kumsaidia na unafki si jadi ya kiislam!!

Halafu wakristo mnamaliza rasilimali za dunia na kuwaacha wafiwa na njaa kali na uchungu mwingi kwa kufiwa kwa kutumia michango yote ya rambirambi kumnunulia maiti nguo za thamani ambazo akiwa hai hakuvaa, mnanunua sanduku la mamilioni na kwenda kulifukia bure tu maiti wala halioni,

Mnakodisha gari la thamani kubwa na kumbeba maiti wakati akiwa hai hamkumpandisha gari kama hilo, mnakodisha kwaya kuja kuimba kwa gharama kubwa,

Mnakodisha watu wa kuja kulia msibani na kisha mnajenga makaburi yenye makaro makubwa ya thamani na kuweka mifuniko ya zege hata maiti akifufuka kwa bahati nzuri asiweze kutoka!! kwanini msiwape wafiwa hizo pesa mwenye kwenda kaenda tu amkeni!!

sisi waislam wasomi wa bongo tuna hasira mno na mfumo kristo wa nchi hii na wakati wake ukifika itakuja kulipuka tu one day! ngoja tusomeshe kwanza watoto wetu!

kitabu chetu kitakatifu kinaonesha sehemu flani kuwa mara nyingi unapofanya mabaya duniani unapokufa Allah hukuanika mbele ya kadamnasi ndani ya sanduku kila mtu anapita na kuona ulivyokwisha na kubadilika rangi kuwa kahawia na kunyamaza kimya ndani ya Sanduku lako na hii ni tamaduni mbovu sana ya ndugu zetu wakristo kuanika maiti watu kupita na kukusimanga ndani ya sanduku wanasema nyoo kafiri mkubwa we si ulijifanya Mungu mtu ukatesa watu amka sasa kama unaweza! ziko stori za maiti kugeuza uso baada ya mtu flani aliemchukiza maiti kupita!!

Ndio maana muislam halisi ZZK alishinikiza sana Mama Mchungaji aliekufa aletwe bungeni nayeye amsimange wakati akipita kuaga kulipiza kosa la mama kupiga makofi eti ZZK auwawe ila akafa yeye!! mfano upo katika kitabu chetu kuna stori ya Farao aliemchukiza sana Mungu na kuachwa asioze kwa uwezo wake Baba kwakuwa wakati huo hakukuwa na dawa ya kukausha maiti kitabu kinasema alimkufuru Mungu kwa kujiita Mungu nae Allah akamhifadhi ili wanadamu wote wamuone mhalifu huyu karne kwa karne! ukienda Misri unamuona live!!

kwa mujibu wa kitabu chetu kile ukiwa kafiri kama makafiri waliojaa bongo huwezi kuwa na akili zote kila wakati dishi lazima huwa linayumba! fanya utafiti utaona jinsi madishi ya kikristo yanavyoyumba kila mara kama Bashite!!

ukweli waislam hawasemi chochote kuhusu ubaguzi uliopo kwenye elimu na ajira ili kulinda amani na mshikamano nchini ila waislam huona wakristo ni debe tupu linalovuma na huwaonea huruma sana kwa kuokotwa na wazungu ambao ukweli ni wapagani si wakristo!!!ukristo uko Vatican tu!!! ukibisha uliza wabongo walioko ulaya watakupa this fact!! mfano ukienda ujerumani wakimbizi wa kiislam wanaswali kiislam makanisani kwa wingi kwa kupokezana na wazee wachache wa kigalatia wanaosali, huko US waislam wananunua makanisa na kugeuza misikiti makanisa hayana mwenyewe waislam wanauziwa majengo na manispaa! kule Norway makanisa ndio kumbi za harusi kitchen party na sherehe kikundi chochote kikiomba kanisa hata kupiga muziki inaruhusiwa makanisa hayana mwenyewe naye Bashite anaongea tu utumbo!! katuchefua sana waislam wa nchi hii!

ukweli ni kuwa waislam huwaona makafiri wote duniani wako katika ndoto wakidhani wanaishi duniani kumbe wako usingizini na hii ni kutokana na kitabu kitakatifu kutoka Arabia kujaa mantiki aya zote , kitabu kutoa elimu zote na kutaja mambo ya nyakati zote na hii ni kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu sababu Mtume Muhammad SAW alikuwa mfanyabiashara na hakusoma shule hata darasa moja na aliishi jangwani asingekuwa na akili ya kusema kila kitu kwa mantiki bila kukosea na kuwaza mambo ya karne mia mbele na kujua sayansi zote za mimea, mashine, uumbaji na ukuaji wa mimba nk!

Dini ya kikristo imejaa udanganyifu mtupu na imejengwa katika kuta za tope kupitia utatu mtakatifu my foot!! kwa mujibu wa vurugu kubwa ya kiakili ya kuelewa utatu mtakatifu usioeleweka, elimu hii ya kikafiri inayopingana na Logic sasa naeleza vizuri hapa chini na hapo utaona wakristo wote duniani hawana akili kabisa japo hawajijui tu!

yaani wewe ni mtu mzima unaambiwa Mungu ni mmoja ila unahesabu unaona wako watatu na wewe una madigirii kama yote unashindwa kufikiri na unakubali huo utumbo kweli? ona sasa hapa chini hesabu taratibu bila mhemko wala kutumia imani uko nayo weka pembeni kwanza hesabu sasa Mungu wako wangapi!!

1.Mungu baba yuko mbinguni na kazi zake za uumbaji mojawapo ni kumuumba Mungu mwenzake (Yesu ) bila kuwa na baba
2. Mungu roho mtakatifu ni nani huyu ni malaika Gabriel au ni ile sauti iliyoko ndani ya mwanadamu imwambiayo cha kusema na kutenda muda wote?
3.Mungu mwana (Yesu) huyu ni binadamu kama mimi nawewe japo hakuzaliwa na baba na ni fundi seremala na yuko ardhini anahubiri injili ambako wanadamu aliowaumba (kumbuka yeye ni Mungu) wanamzidi nguvu wanamuua na kusababisha hapo hapo kutokea giza kwa Mungu kufa na dunia kuanza kujiendesha yenyewe kuanzia wakati huo sababu Yesu ni sehemu ya Mungu wale watatu sasa kuuwawa kwake msalabani kunasababisha na wale Miungu wengine wawili Mungu Baba na Mungu roho mtakatifu nao kufa maana na wao ni sehemu ya yeye (Yesu)! Wakristo wengine husema Mungu (Yesu) ni mmoja tu na ndo huyo huyo alishuka duniani na kule juu mbinguni kukawa empty kwa dhana hiyo ina maana Mungu (Yesu) aliposulubiwa msalabani na kuuwawa na mayahudi aliowaumba Dunia ilibaki bila Mamlaka ya Mungu??? this christianity is built in rubbish illogical thinking and dirty information!!

ama kweli akili ya wakristo iko kwenye mfuko wa sharti akivua shati akitundika analala free kama mtoto! yani tujiulize binadamu mayahudi wana nguvu ya kuua Mungu aliewaumba? (Yesu)?! akili au matope!! mfano eti kuku amuue kwa kumpiga binadamu anaemfuga!!!

kitabu kile kueleza yesu kufa mara mbili ( kufa msalabani na kupaa na baadae atarudi duniani na kufa tena) , we uliona wapi mtu alikufa akafufuka? kama ingekuwa kufufuka ni rahisi tungewafufua wapendwa wetu wote waliotangulia mbele za haki!! kifo ni mara moja tu na hakuna kufufuka kiboya boya!

Mantiki ya kiislam ni kuwa Yesu hakufa msalabani bali alipazwa juu ili binadamu wasiweze kumsulubu na asiwe ni mwenye kulaaniwa kwa mujibu wa mila za kiyahudi na biblia amelaaniwa kila aangikwae juu ya mti sasa iweje Mungu Mwana aangikwe juu ya mti auwawe kwa kupigwa misumari na wanadamu aliowaumba na alaaniwe hii ni akili au matope!! pale Giza lilitokea kwa masaa matatu ambako Yesu alipaa ni mzima na atarudi kuwakana wote waliomzushia kufa msalabani na atakufa sasa kiukweli si kifaulongo!!

mkristo yoyote atakaeona tabu katika kuelewa na kukubali dhana hii ya utatu mtakatifu japo kidogo ajue tayari ameokolewa wokovu umefika nyumbani mwake na asilimu kwa Sheikh haraka au asilimu moyoni mwake tu kwa kuwaficha wanadamu wenzake na aendelee kwenda church tu nae Allah huangalia nafsi na atamuhesabu ni muislam safi nami naamini kwa jinsi nilivyoeleza utatu mtakatifu vizuri na kuonesha ubovu wake basi mje kwa wingi na nyote tutawapokea inshaallah!

Makadinali wote wa dunia pamoja na maaskofu kaeni kikao kisha njooni hapa mnijibu mnieleze hoja zenye mantiki kwanini Mungu ni mmoja ana roho tatu na roho moja ikifa msalabani (Mungu Mwana Yesu) roho zingine mbili za kiumbe hicho hicho (Mungu Baba na Mungu Roho Mtakatifu) zibaki hai! Na kama Yesu ndie Mungu mkuu alieshuka duniani kwa umbo la binadamu kwanini aliowaumba wawe na uwezo wa kumtundika msalabani na kumuua? na kama walimuua kweli ina maana dunia haina Mungu tena?????

Ukiona kobe yuko juu ya mnazi ujue kapandishwa tu! wakristo mnapandishana juu kwa kutumia mfumo kristo nchini na hamtaki kusikia mada za udini kwa sababu ni mwiba kwenu!! nasi tukipata nafasi japo ndogo kama hizi tunakumbusha mmepotea huko njooni kwenye njia ya kweli na uzima wa milele kupitia mtume wetu Muhammad SAW

Viongozi wa juu wa bongo wanapaswa kujua waislam wanahesabu idadi ya waislam walio na madaraka nchini na wanafuatilia kwa karibu kila teuzi japo kimya kimya tu siku yake ikifika watalipuka labda ni miaka 20 ijayo!
 
mtoa mada umeanza vibaya mada yako kwa kusema hovyo kuwa mtu asie na akili hujadili suala la dini , wewe si muislam na hivyo huna uchungu wala hasara kwa waislam kunyimwa nafasi za elimu na ajira tangu tupate uhuru

ndugu zangu wakristo wote nawaalika tafadhali someni hapa mjifunze kitu japo kimoja!!!

Mosi ikumbukwe mkristo akifa sisi waislam hatusemi alale mahali pema peponi bali tunasema alale mahali panapomstahili kama Mzee Ruksa aliposema kuhusu hayati Mwalimu , hatusemi ulale pema peponi kwakuwa tuna asilimia mia mbili tunajua maiti huyo kafiri anaenda kuuvaa moto wa milele na hatuna cha kufanya kumsaidia na unafki si jadi ya kiislam!

Kama wewe ndiyo muislam mwenye akili kama ulivyobainisha bhasi niwape pole ndugu zangu waislam.

Au hasira za vidonda vya tumbo zinakusumbua ewe mjahidina ,?.
 
Kama wewe ndiyo muislam mwenye akili kama ulivyobainisha bhasi niwape pole ndugu zangu waislam.

Au hasira za vidonda vya tumbo zinakusumbua ewe mjahidina ,?.
wewe usipotezee mada yangu niletee maaskofu wanifundishe utatu mtakatifu acha ngonjera, vidonda kweli ninavyo umejuaje? kuna waislam wenye akili na elimu na maarifa kunizidi mi nawakilisha tu jifunze sasa usijaji watu ovyo na kamwe usigeneralize mambo acha uvivu wa kufikiri!

mimi ni mwalimu bora kitaaluma na katika kuandika vitu vinavyochoma sana moyo wa mtu huwa sikurupuki kuandika nachagua cha kuandika nahakikisha kimchome mhusika ajionae bora nae hujiona kumbe si lolote, hii inaitwa emotional punishment huwa waalimu tunakatazwa kuitumia kwa watoto!
 
wewe usipotezee mada yangu niletee maaskofu wanifundishe utatu mtakatifu acha ngonjera, vidonda kweli ninavyo umejuaje? kuna waislam wenye akili kunizidi usijaji ovyo na kugeneralize acha uvivu wa kufikiri!
.

Hao maaskofu wa kufundisha wapumbavu wa Aina yako tuwatoe Wapi Tanzania hii ?
Kama unaona tz kuna udini hama nchi nenda hata Zanzibar hapo viongozi wote ni waislam usilalamike!!
 
Back
Top Bottom