GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,866
- 11,102
- Thread starter
- #21
Una uwezo mdogo sana wa kufikiri kiongozimtoa mada umeanza vibaya mada yako kwa kusema hovyo kuwa mtu asie na akili hujadili suala la dini , wewe si muislam na hivyo huna uchungu wala hasara kwa waislam kunyimwa nafasi za elimu na ajira tangu tupate uhuru na ukweli tunamtakia Baba yetu yule apewe adhabu inayomstahili na Allah kwa kusimika mizizi ya mfumo kristo uliopotosha imani thabiti za mamilioni ya watu!
ndugu zangu wakristo wote nawaalika tafadhali someni hapa chini mjifunze kitu japo kimoja!!!
Mosi ikumbukwe mkristo akifa sisi waislam hatusemi alale mahali pema peponi bali kwakuwa amekufa akiwa kafiri tunasema alale mahali panapomstahili kama Mzee Ruksa aliposema kuhusu hayati Mwalimu , hatusemi ulale pema peponi kwakuwa tuna asilimia mia mbili tunajua maiti huyo kafiri anaenda kuuvaa moto wa milele na hatuna cha kufanya kumsaidia na unafki si jadi ya kiislam!!
sisi waislam wasomi wa bongo tuna hasira mno na mfumo kristo wa nchi hii na wakati wake ukifika itakuja kulipuka tu one day! ngoja tusomeshe kwanza watoto wetu!
kitabu chetu kitakatifu kinaonesha sehemu flani kuwa mara nyingi unapofanya mabaya duniani unapokufa Allah hukuanika mbele ya kadamnasi ndani ya sanduku kila mtu anapita na kuona ulivyokwisha na kubadilika rangi kuwa kahawia na kunyamaza kimya ndani ya Sanduku lako na hii ni tamaduni mbovu sana ya ndugu zetu wakristo kuanika maiti watu kupita na kukusimanga ndani ya sanduku wanasema nyoo kafiri mkubwa we si ulijifanya Mungu mtu ukatesa watu amka sasa kama unaweza! ziko stori za maiti kugeuza uso baada ya mtu flani aliemchukiza maiti kupita!! ndio maana muislam halisi ZZK alishinikiza sana Mama Mchungaji aliekufa aletwe bungeni nayeye amsimange wakati akipita kuaga kulipiza kosa la mama kupiga makofi eti ZZK auwawe ila akafa yeye!! mfano upo katika kitabu chetu kuna stori ya Farao aliemchukiza sana Mungu na kuachwa asioze kwa uwezo wake Baba kwakuwa wakati huo hakukuwa na dawa ya kukausha maiti kitabu kinasema alimkufuru Mungu kwa kujiita Mungu nae Allah akamhifadhi ili wanadamu wote wamuone mhalifu huyu karne kwa karne! ukienda Misri unamuona live!!
kwa mujibu wa kitabu chetu kile ukiwa kafiri kama makafiri waliojaa bongo huwezi kuwa na akili zote kila wakati dishi lazima huwa linayumba! fanya utafiti utaona jinsi madishi ya kikristo yanavyoyumba kila mara kama Bashite!!
ukweli waislam hawasemi chochote kuhusu ubaguzi uliopo kwenye elimu na ajira ili kulinda amani na mshikamano nchini ila waislam huona wakristo ni debe tupu linalovuma na huwaonea huruma sana kwa kuokotwa na wazungu ambao ukweli ni wapagani si wakristo!!!ukristo uko Vatican tu!!! ukibisha uliza wabongo walioko ulaya watakupa this fact!! mfano ukienda ujerumani wakimbizi wa kiislam wanaswali kiislam makanisani kwa wingi kwa kupokezana na wazee wachache wa kigalatia wanaosali, huko US waislam wananua makanisa na kugeuza misikiti makanisa hayana mwenyewe waislam wanauziwa majengo na manispaa! kule Norway makanisa ndio kumbi za harusi kitchen party na sherehe kikundi chochote kikiomba kanisa hata kupiga muziki inaruhusiwa makanisa hayana mwenyewe ye anaongea tu utumbo!! katuchefua sana waislam wa nchi hii!
ukweli ni kuwa waislam huwaona makafiri wote duniani wako katika ndoto wakidhani wanaishi duniani kumbe wako usingizini na hii ni kutokana na kitabu kitakatifu kutoka Arabia kujaa mantiki aya zote , kitabu kutoa elimu zote na kutaja mambo ya nyakati zote na hii ni kuthibitisha kuwa ni maneno ya Mungu sababu Mtume Muhammad SAW alikuwa mfanyabiashara na hakusoma shule hata darasa moja na aliishi jangwani asingekuwa na akili ya kusema kila kitu kwa mantiki bila kukosea na kuwaza mambo ya karne mia mbele na kujua sayansi zote za mimea, mashine, uumbaji na ukuaji wa mimba nk!
kwa mujibu wa vurugu kubwa ya kiakili ya kuelewa utatu mtakatifu usioeleweka, elimu hii ya kikafiri inayopingana na Logic sasa naeleza vizuri hapa chini na hapo utaona wakristo wote duniani hawana akili kabisa japo hawajijui tu!
yaani wewe ni mtu mzima unaambiwa Mungu ni mmoja ila unahesabu unaona wako watatu na wewe una madigirii kama yote unashindwa kufikiri na unakubali huo utumbo kweli? ona sasa hapa chini hesabu taratibu bila mhemko wala kutumia imani uko nayo weka pembeni kwanza hesabu sasa Mungu wako wangapi!!
1.Mungu baba yuko mbinguni na kazi zake za uumbaji
2. Mungu roho mtakatifu ni nani huyu ni malaika Gabriel au ni ile sauti iliyoko ndani ya mwanadamu imwambiayo cha kusema na kutenda muda wote?
3.Mungu mwana (Yesu) huyu ni binadamu kama mimi nawewe japo hakuzaliwa na baba na ni fundi seremala na yuko ardhini anahubiri injili ambako wanadamu aliowaumba (kumbuka yeye ni Mungu) wanamzidi nguvu wanamuua na kusababisha hapo hapo kutokea giza kwa Mungu kufa na dunia kuanza kujiendesha yenyewe kuanzia wakati huo sababu Yesu ni sehemu ya Mungu wale watatu sasa kuuwawa kwake msalabani kunasababisha na wale Miungu wengine wawili Mungu Baba na Mungu roho mtakatifu nao kufa maana na wao ni sehemu ya yeye (Yesu)! Wakristo wengine husema Mungu (Yesu) ni mmoja tu na ndo huyo huyo alishuka duniani na kule juu mbinguni kukawa empty kwa dhana hiyo ina maana Mungu (Yesu) aliposulubiwa msalabani na kuuwawa na mayahudi aliowaumba Dunia ilibaki bila Mamlaka ya Mungu??? this christianity is built in rubbish illogical thinking and dirty information!!
ama kweli akili ya wakristo iko kwenye mfuko wa sharti akivua shati akitundika analala free kama mtoto! yani tujiulize binadamu mayahudi wana nguvu ya kuua Mungu aliewaumba? (Yesu)?! akili au matope!! mfano eti kuku amuue kwa kumpiga binadamu anaemfuga!!!
kitabu kile kueleza yesu kufa mara mbili ( kufa msalabani na kupaa na baadae atarudi duniani na kufa tena) , we uliona wapi mtu alikufa akafufuka? kama ingekuwa kufufuka ni rahisi tungewafufua wapendwa wetu wote waliotangulia mbele za haki!! kifo ni mara moja tu na hakuna kufufuka kiboya boya! mantiki ya kiislam ni kuwa Yesu hakufa msalabani bali alipazwa juu ili binadamu wasiweze kumsulubu na asiwe ni mwenye kulaaniwa kwa mujibu wa mila za kiyahudi na biblia amelaaniwa kila aangikwae juu ya mti sasa iweje Mungu Mwana aangikwe juu ya mti auwawe kwa kupigwa misumari na wanadamu aliowaumba na alaaniwe hii ni akili au matope!! pale Giza lilitokea kwa masaa matatu ambako Yesu alipaa ni mzima na atarudi kuwakana wote waliomzushia kufa msalabani na atakufa sasa kiukweli si kifaulongo!!
mkristo yoyote atakaeona tabu katika kukubali dhana hii japo kidogo ajue ameokolewa wokovu umefika nyumbani mwake na asilimu haraka nami naamini kwa jinsi nilivyoeleza utatu mtakatifu vizuri mje tutawapokea inshaallah!
Makadinali wote wa dunia pamoja na maaskofu kaeni kikao kisha njooni hapa mnijibu mnieleze hoja zenye mantiki kwanini Mungu ni mmoja ana roho tatu na roho moja ikifa msalabani roho zingine mbili zibaki hai!
Ukiona kobe yuko juu ya mnazi ujue kapandishwa tu! wakristo mnapandishana juu kwa kutumia mfumo na hamtaki kusikia mada za udini kwa sababu ni mwiba kwenu!! nasi tukipata nafasi japo ndogo kama hizi tunakumbusha mmepotea huko njooni kwenye njia ya kweli na uzima wa milele kupitia mtume wetu Muhammad SAW
Shusha presha na pumzi unapojadili mambo,Punguza hasira na povu ,Jenga hoja
Hapa hatujadili mambo ya kiroho ambayo hayaonekani,Imani ni mambo yasionekana hivyo hatuyajadili hapa
Usigeuza hii mada vita ya mapambano kati ya ukristu na uislam
Kuna dini zipo kabla ya ukristu na uislam
Dini na Imani za kibudha na kihindu zipo kabla ya uislam wako
Dini yako inakujaza hasira na chuki sana basi nena allepo au Syria ukajitoe muhanga
NB
Alieanzisha mada ya kuuwawa zito ni Abdallah Bulembo,Sasa Abdallah Bulembo unaeelewa maana ya Abdallah wewe