ukiwa na dish tayari wewe uko digital hata hao ting,startimes etc wanatumia madish kupata hizo channel halafu wanaturushia tena kwa sender zao ili wewe upokee bila ungo na picha zinakuwa bora bila chenga na tv zote zinaweza, nisawa na kuweka mkanda wa video unavyounganisha ving'amuzi vyaowandugu mnijuze eti wale wanaotumia nyungo aka madishi aka satellite dishes! Je nao hawatapata matangazo ya tvs sababu ya mageuzi ya digital??
Dah kwa hali ilivyo inabidi niweke fence kwenye kakibanda kangu kwani wengi watashindwa kutumia ving'amuzi kutokana na bei kubwa sasa wataanza kujaa kwenye ka sebule ili kuangalia vikomedi vyaoNnavyoijua hii bongo wataongeza muda.