digital era December 31st 2012

GWAMAKAE

Member
Jul 22, 2009
18
0
Wandugu mnijuze Eti wale wanaotumia nyungo aka madishi aka satellite dishes! Je nao hawatapata matangazo ya TVs sababu ya mageuzi ya digital??
 
Wenye nyungo tayari walishafanya mageuzi yao, hawatakatiwa matangazo mkuu GWAMAKAE!
 
Last edited by a moderator:
wandugu mnijuze eti wale wanaotumia nyungo aka madishi aka satellite dishes! Je nao hawatapata matangazo ya tvs sababu ya mageuzi ya digital??
ukiwa na dish tayari wewe uko digital hata hao ting,startimes etc wanatumia madish kupata hizo channel halafu wanaturushia tena kwa sender zao ili wewe upokee bila ungo na picha zinakuwa bora bila chenga na tv zote zinaweza, nisawa na kuweka mkanda wa video unavyounganisha ving'amuzi vyao
 
Nnavyoijua hii bongo wataongeza muda.
Dah kwa hali ilivyo inabidi niweke fence kwenye kakibanda kangu kwani wengi watashindwa kutumia ving'amuzi kutokana na bei kubwa sasa wataanza kujaa kwenye ka sebule ili kuangalia vikomedi vyao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom