There is a show on discovery channel 'Mythbusters' they tested several claims claimed by conspiracy. I'ts said that NASA never went to the moon and that all the video footage is a fake but it was busted hands down and a nail in the coffin was that when the astronauts went to the moon they left a retro reflector up there and when a very powerfull laser was pointed to the location a reflection was observed proving that man indeed landed in the moon.
So guys i have 2 questions that i can't ans.
1.Yes maybe they faked it then but doesn't the technology to go to the moon and back exist now?
2.Does this mean that the trips on mars are fakes too.
There is a show on discovery channel 'Mythbusters' they tested several claims claimed by conspiracy. I'ts said that NASA never went to the moon and that all the video footage is a fake but it was busted hands down and a nail in the coffin was that when the astronauts went to the moon they left a retro reflector up there and when a very powerfull laser was pointed to the location a reflection was observed proving that man indeed landed in the moon.
Mkuu kuna robot (Unmanned spacecraft) nyingi za Mrusi na marekani zimeshafika huko (Mwezini), hivyo kuna vitu vingi sana vimeachwa, ni kama sasa hao wataalamu wanapata picha za Mars na wanaweza kupata info za kule na hili hali hakuna mtu aliyefika huko
Hakuna kiumbe aliyekanyaga Mwezini
i don't know to me it seems like they indeed went there.
Thanks mkuu,kwa hamu kubwa tunasubiri hizo clear evidence ili wote tuzungumze lugha moja sasa.Nina taarifa za kuaminika kwamba Wamarekani hawakutua mwezini.That is a fact.Ila kwa vile JF members wengi ni wale ambao wamekuwa brainwashed kiasi cha kuamini kwamba kila walilofundishwa shuleni ni sahihi, basi nikasema ngoja wajinga waendelee kulala.Kesho nikipata nafasi nitaleta evidence.Wasomi inabidi tuwe more inquisitive.Mengi tuliyofundishwa mashuleni ni mere braiwashing meant kuendelea kutulaza usingizi.I am glad people in Jf are starting to question Americas' blatant lies and nonsense.QUOTE=Kaka';1901151]Kutokana na clip na documdntary nlzopitia. Nimekuwa fifty fifty na kile nnachofundishwa darasan kwamba marekan ndo wa kwanza kupeleka mtu mwezini kwa kutumia apolo eleven. Cha kushangaza ktk documemtary moja kulkuwepo na msemaji mkuu wa nasa na alishindwa kupangua allegations zlizoelekezwa kwa nasa kwamba hamna mtu alietua ktk mwez hiyo 1968. Naomba maoni yenu wadau.
...Kila walilofundishwa shuleni ni sahihi, basi nikasema ngoja wajinga waendelee kulala.Kesho nikipata nafasi nitaleta evidence........
Conspiracy theories ziko nyingi sana kuhusu kufika mwezini. Mimi nakumbuka kabisa (1969 na siyo 1968) siku ile ambayo walisema wangetua mwezini dunia nzima ilikuwa tunasikiliza kwa redio. Mimi nilikuwa primary school na mpaka mashamba huko kwetu visiwani hadithi ilikuwa hiyo - jee watatua au hawatatua?
Mimi naamini kwamba wametua mwezini kwa sababu kama hawangetua Warusi wangewaumbua vibaya sana. Munakumbuka siku zile za cold war siri zilikuwa zinauzwa pande zote mbili na siri ya aina hiyo ilikuwa ni bei kubwa sana kwani ingewaumbua vizuri wamarekani.
Kituko, jangwa la Nevada lilitumika kwa kufanya majaribio ya atomic bomb if I am not mistaken. (Off point) na waliotengeneza hilo bomu asilimia kubwa walikuwa ni jews kutoka Ujerumani, Italy (Enrico Fermi) na France, wakashirikiana na wale wa Marekani (akina Oppenheimer) kutengeneza hilo. Kwa hivyo si ajabu kwa Hitler kuwa na technolojia ya anga,
Ila bado inabakia Warusii ndiyo wa kwanza kupeleka chombo angani (Yuri Gagarin?).
Labda nikuulize. Kwani unaamini kuwa hakuna kiumbe aliyekanyaga mwezini. Ni kwa sababu hakuna technologoa ya kufika huko? Au vipi?Mkuu kuna robot (Unmanned spacecraft) nyingi za Mrusi na marekani zimeshafika huko (Mwezini), hivyo kuna vitu vingi sana vimeachwa, ni kama sasa hao wataalamu wanapata picha za Mars na wanaweza kupata info za kule na hili hali hakuna mtu aliyefika huko
Hakuna kiumbe aliyekanyaga Mwezini
Asante sana mkuu,umenitoa matongotongoTatizo sio kufika bali ni documentary zao ndiyo zinawaumbua na kutufanya tusiamini wanachotueleza,mimi binafsi sikubaliani nao kuwa walifanikiwa kutua mwezini,kwa sababu vitu wanavyoonyesha kwenye documentary zao baada ya kurudi vinapingana na sayansi tunayoijua
mfano
1-Video zao zinaonyesha maastronauts wamesimama mwezini huku wameshikilia bendera ya marekani na inapepea hewani -hii kitu haingii akilini kwa bendera kupepea mwezini kwani hakuna hewa
2-.kwa technolojia ya kipindi hicho kama ukipiga picha basi lazima juu ya picha hiyo utakuta kuna alama ya msalaba(target) 'juu ya picha' ..sasa kwenye picha zao ule msalaba(target) umefunikwa au unaonekana nusu umefunikwa na picha yenyewe kitu ambacho hakingii akilini licha ya kutowezekana kabisa
3.-Muelekeo wa wa vivuli na jinsi hao maastronauts walivyokuwa wanamoove ni vitu viwili tofauti ambavyo haviendani
4.-Picha zilizopigwa zilifanana sana na eneo fulani lenye hali ya kijangwa nchini marekani