FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,890
- 109,224
Angalia sasa kama huyu!!!!!!!
Hivi ulivyoleta hoja ulikuwa hutaki ijibiwe, si ungesema hii post "isijibiwe".
Angalia sasa kama huyu!!!!!!!
Mwanakijiji, mnavyofanya si vizuri, huku ni kubaka uhuru wa kujieleza, mimi binafsi hii thread sikumbuki kuichangia lakini nashangaa kukuta michango yangu, na kule nilipochangia haipo, hii tabia gani au ndio kuendeleza udikiteta wa nyerere!?He never admitted to failure; the idea that he did is a pure conjugation of the people who hoped that he in fact did. Hajawahi kusema ameshindwa. I can challenge you to find it anywhere and you won't. I guarantee it.
Mwanakijiji, mnavyofanya si vizuri, huku ni kubaka uhuru wa kujieleza, mimi binafsi hii thread sikumbuki kuichangia lakini nashangaa kukuta michango yangu, na kule nilipochangia haipo, hii tabia gani au ndio kuendeleza udikiteta wa nyerere!?
He never admitted to failure; the idea that he did is a pure conjugation of the people who hoped that he in fact did. Hajawahi kusema ameshindwa. I can challenge you to find it anywhere and you won't. I guarantee it.
Kwa nn mnahangaika kubishana na huyu mwanamke Mshambenga ambaye si ajabu atakuwa ni hawara wa Fisadi mmoja!! Nyerere may not have been perfect,since he is human we know he is fallible,lakini he still is one of the greatest leaders in Africa,Patriotic and well intentioned!! Tofauti kabisa na Jakaya,Mkapa na Mwinyi,Wezi hawa,oooops,i forgot ur hawara as well!!Kama wewe hujasikia ndio hujasikia, itafute utaipata. Kwani wewe Mungu hata uyajuwe yote?
Ndiyo, Nyerere kaiacha nchi katika hali ya njaa, hata bila mafuta ya taa etc. etc. Lakini Nyerere hajawahi kusema kuwa "yes I failed.Kwa hiyo, hiyo ni conclusion ya moja ya muandishi aliyemnukuu nyerere kusema failure? Kama ndio hivyo kuna tatizo lipi hapo?
He simply failed. No one with his right mind can argue with this. Muwandanganye wale ambao hawakuwepo wakayi wake.
Nyerere kaiacha nchi njaa, kiza, hakuna hata mafuta ya taa, foleni ma petrol station, foleni hata sukari, ashaakum si matusi hata pamba zetu za kujistiri tulikuwa hatupati mpaka tuzinunue za magendo, sijui kama wanaume wanalijuwa hilo? ukipita njiani umebeba hata kikapu, kinapekuliwa na mgambo. Vizuizi vimewekwa Tanzania nzima eti vya kuzuia kipindupindu! jamani? mlikuwepo au mnabisha tuu?
Hivi mkiambiwa ukweli wa nyerere kwanini hamuupendi? nyerere alikuwa "orater" mzuri sana. Lakini mama yangu, ikifika kwenye maamuzi ya utendaji, yote bogus, hakuna kilicho fanikiwa.Viwanda vya umma, viko wapi? majumba aliyotaifisha, yako wapi? mabenki aliyotaifisha. yako wapi, shule alizotaifisha, ziko wapi? mashamba aliyotaifisha, yako wapi? vijiji vya ujamaa alivyolazimisha watu wahamie, viko wapi? mashirika umma aliyoanzisha, yako wapi? Hivyo vyote vimeanza kufa kabla yeye haja ng'atuka. Kaondoka benki kuu haina senti tano ya kigeni na ikachowa moto kuficha madudu yake, wizara ya mambo ya ndani ikachomwa moto kuficha madudu yake. Na ndio maana tukasikia mpaka kaburi lake liliwaka moto kwa dhulma alizofanya, siku aliyozikwa mpaka ardhi ikatetemeka kwa dhambi alizonazo.
Hao wanaojidai, oooh kaondoa udini. Ni waongo, kabla ya nyerere kulikuwa hakuna tatizo la udini Tanzania. Kungekuwa kuna tatizo la udini hata yeye asingepokelewa na kufadhiliwa na waIslaam wa Kariakoo. Oooh eti ukabila, ni nani aliyenyanyaswa kwa kabila yake Tanzania kabla ya nyerere? baada ya kuja nyerere ndio tukaona udini unaanza kwa kuwafunga mashekhe wote wwakubwa Tanzania, kuwahamisha makazi yao, kuwakejeli. Ukabila ukaanza alipoanzisha mashirika ya umma.
He was simply a failed dictator.
Kuwa Nyerere alisema "I failed. Let us admit it" iliandikwa kwa mara ya kwanza na Karl Maier, kwenye kitabu chake kilichokuwa published mwaka 1998 titled "Into the House of the Ancestors. Inside the New Africa". Kwenye ukurasa wa 5 anasema "Even rarer are the leaders who own up to their mistakes in office, such as Nyerere who, when he bowed out gracefully as president of Tanzania in 1985, declared in his farewell speech, "I failed. Let's admit it." (http://www.nytimes.com/books/first/m/maier-house.html , para 13). But the author does not give any source where he got that phase "I failed. Let's admit it". He merely says in 1985 but does not specify if this was said in Nyerere's farewell speech.
Pia ukisoma vitabu vingine vinam-quote Maier akisema kuwa kiongozi pekee wa Kiafrika aliye admit kuwa amefail ni Nyeyere. Ukisearch kwenye google, kama aliyofanya Faiza, utakuta kila mtu anasema kuwa Nyerere once said "I failed. Let us admit it", then hao waandishi wanam-refer Karl Maier as a source, but not the actual Nyerere's speech. Since Maier did not provide any source of the quote, it is difficult to verify because kwenye speeches za Nyerere sijawahi kuona au kusikia akitamka hiyo phrase.
Hapa tujaribu kutofautisha kati ya primary source na secondary source. Kwenye primary source ambayo ni speech yenyewe, there is no such a phrase as "I failed. Let us admit it". Kwenye secondary source ambayo ni Karl Maier, does not provide a source for that phrase. In his last speech as the President, Nyerere said that "You have forgiven, even if perhaps you have not forgotten, my many mistakes of commission and commission." Could this be what Karl Maier was referred to as "I failed. let us admit it"? Hata hivyo itakuwa vingumu b'se kwenye phrase ametumia plural, i.e let's us admit, whilst kwenye speech anasema "my many mistakes of commission and commission."
Ninachojua Nyerere alishasema kwenye moja ya hotuba zake kuwa tusije tukadhani kuwa wakati wa utawala wake palikuwa hapana rushwa. Alisema rushwa ilikuwepo lakini tofauti na sasa wao walikuwa wakali sana na wala rushwa ndani ya serikali (YouTube - ‪Nyerere's Meeting With Tanzania Press Club 1995 Part 4 of 10‬‏). Pia kwenye speech yake ya siku ya Wafanyakazi mwaka 1995 alisema kuwa serikali yake ilifanya mambo mema na ya kijinga. Hilo ali-admit kabisa. Ila alisema kuwa tatizo la utawala uliofuata uliacha yale mema na kuendeleza ya kijinga. Anakubali kuwa katika miaka 23 lazima watakuwa walifanya makosa kwa vile hakuwa malaika. Lakini kilichotakiwa ni serikali ya awamu ya pili kuyasahihisha makosa ambayo utawala wake ulifanya na kuendeleza mema hasa yale ya msingi. Alisema cha ajabu hata yale mazuri na ya msingi tumeshindwa kuyaendeleza (YouTube - ‪Julius Nyerere 's Speech on Workers' Day 1995 Part 6 of 7‬‏) (anzia dakika ya 8.50).
Mnabishana na non-existent entity ff
Mzee Mwanakijiji,
Ikiwa Nyerere ktk mahojiano ya mwaka 1995 ilikuwa hivi sidhani kama kweli kuna mahala ali adimt failure..but agian, kutokubali makosa ni hulka ya Mtanzania hatukosi sababu hata kama umefumaniwa uchi, na siku zote hatukosi mchawi. farewll speech haina kipande chochote alicho admit hakuna - bofya
Ukweli utabakia kwamba - He failed economically. Lakini wengi wanashindwa kuelewa kwamba Politically jamaa alikuwa mshindi tena labda naweza sema mmoja kati ya viongozi bora duniani.
Kwa mfano, Arap Moi failed, Kenya ilikuwa inakwenda chini vibaya sana kiuchumi, Kina Kaunda na Banda wote hawa kufikia mwisho wa utawala wao walikuwa total failure economically lakini huwezi kusikia wakizungumzwa..Why?