Sijai refer hiyo speech, nimesema Nyerere Farewell Speech. na ndio pengi nilipoisoma wanasema hivyo.
Huyo aliyoiweka hiyp speech moja anataka iaminike kuwa nyerere aliaga kwa hotuba moja tu, huo si ukweli, nyrere kama nilivyokueleza kwanza, hajaaga kwa hotuba moja, alizunguka Tanzania na nje ya Tanzania akiaga.
Cha kushangaza ni kwamba si mara moja nyerere kuadmit mistakes, na alii quote mwenyewe mkjj mimi nikaongezea tu, kusema si mistakes tu bali kisha admit he "failed", sasa tatizo nini?
Nawashangaa wanaoikataa hiyo kauli ya Nyerere na ni maneno machache yaliyompatia sifa kubwa sana.
Kwa upande wangu, Nyerere was failure. Aliyekuwepo wakati wa Nyerere ataelewa nasema nini, lakini anaehadithiwa hadithi za kupotoshwa anaambiwa kuwa nyerere ni "Saint". Hana u Saint wowote. Wala wasiwadanganye, nilikuwepo.
Wewe ulikuwa unasema "Nyerere farewell speech" hukusema "Nyerere farewell speeches", pamoja na kwamba wengine tulikuwa wadogo ambalo sio kosa bado tunapata simulizi kutoka kwa watu waliokuwa wakubwa kama wewe, kwa nini simulizi zenu zinatofautiana kwa hiyo ni jukumu letu kufuatilia kwa makini na kuamua yupi anasema sahihi na ufutiliaji haujaanza leo.
Sisemi kwamba alifanya mazuri yote yapo mabaya lakini mazuri ni mengi kuliko mabaya hilo hata yeye alishasema, lakini kusema he failed, hiyo hapana, tuchukue mfano wa mwanafunzi anayehitimu kidato cha nne na muda wake wote wa miaka minne amesoma masomo tisa na kwenye mtihani wa mwisho kafanya masomo tisa, matokeo yametoka ana F kwenye masomo mawili, D somo moja A masomo matatu, B kwenye majomo mawili na C somo moja, wapo watu watakaosema amefeli ukilinganisha na waliopata A na B kwenye masomo yote, lakini kiuhalisia huyu mtu hajafeli ukweli ni kwamba kuna baadhi ya masomo amefanya vibaya na masomo mengine amefanya vizuri.