Diamond - Tuzo 7 nilizopata sio kwa ajili ya Wema wala Penny

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,385
Msanii wa kizazi kipya na mshindi wa ktma2014, Diamond Platnum, amefunguka kuhusu tetesi zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa ushindi wake wa tuzo saba mfululizo alizozipata zimesababishwa na mpenzi wake wema sepetu, mwenyewe amefunguka na kukanusha uvumi huo.

" Wanaosema eti nimepata tuzo nyingi kwa kuwa nipo na wema sepetu ,halafu mwaka jana sikupata kwa kuwa nilikuwa na penny siyo kweli, kwani kila mtu ana muda wake na ana nafasi yangu katika maisha, hata wakati napata hizo tuzo mbili mwaka jana sikuwa na penny, bali nilikuwa na jokate mwegelo. ile video ya my number one nilitumia fedha zangu mwenyewe, kisha baada ya kurudi nikaenda coca cola ambao ni wadhamini wangu kuwaonyesha nilivyofanya". Alimalizia staa huyo wa single ya my number one.

Mbali na tuzo saba alizozipata , diamond alisema mpaka sasa ivi ana jumla ya tuzo 17, ambazo yeye mwenyew anasema alitakiwa kuwa nazo 18 ,lakini moja iliibiwa na watu wake wa karibu miaka ya nyuma iliyopita.
 
bob junior na wenzake ndio waliiba ili kwenda kuifukia ili kumzika diamond kimziki
 
bob junior na wenzake ndio waliiba ili kwenda kuifukia ili kumzika diamond kimziki

Hata kule nairobi nasikia alinyang'anywa tuzo sijui wakazipeleka kwa waganga, sasa sijui wamepata faida gani, mwenzao ndo huyo anaenda kugombea tuzo za BET
 
Hata mi najua ni juhud zake mwenyewe hakuna cha nyoko wala nyokokooo

Naona wapambe kimyaa, yamewashukaaa... atleast ata huyo wanayedai kamsababishia apate tuzo angekuwepo bas kwenye video kama video queen atleast wangesema labda kai boost nyimbo kama ile ya bele nine masogange, ila hakuwa na mchango wowote kama alivyosema
 
Waje tu watuchekesheee sieeee
 
Back
Top Bottom