Diamond na Wema "WARUDIANA" ....

Acheni ushabiki usio na maana, binafsi napenda uhusiano wa wema na diamond ila mwanaume huwa anapenda zaidi ya kitandani na muonekano wa nje...am telling u guys siamond anampenda sana wema ila atakuja oa penny coz she is a wife material..wema aatendelea kummega milele...this is reality wether u like it or not...

Sent using JamiiForums
 
BINAMU YAKO ht usiogope humu ndani usidhani wote wenye avatars za kike ni mademu haha....bora ht mie
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

hahaha mke hampate wapi! mwanaume kashindikana hadi Chanika kwa waanchali na waanchoke kwa kina murra,,ndio atampata nani uku JF amuingize mkenge...Ye arudi kuoa tu uko kijijini kwao Kidodi,harusini watamchinjia nyumbu..mjini awaachie wenyewe...Pesa hana,mvuto hana,pamba hazijui nae anataka wazuli.
 
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

yeah nimempata mama yako...ila nimempiga chini kinuka mkojo yule
 
Hahahaha kwanza muulize vipi keshapata mchumba wa kuoa..maana alikua anatafuta mchumba jf hahaha chezea kukosa mvuto wewee..pesa hana sura hana halafu anataka mke...

and if you think that am ugly...u cn arrange a meeting,I woz too busy making money that i didnt get a time to interact with bitches like you....
 
hahaha mke hampate wapi! mwanaume kashindikana hadi Chanika kwa waanchali na waanchoke kwa kina murra,,ndio atampata nani uku JF amuingize mkenge...Ye arudi kuoa tu uko kijijini kwao Kidodi,harusini watamchinjia nyumbu..mjini awaachie wenyewe...Pesa hana,mvuto hana,pamba hazijui nae anataka wazuli.
Hahahahaha i know these ni faminine ways....no wonder you got four lips n bleed for several days!
 
Jamani nimesikia Diamond na Wema wamerudiana,,Penny kapigwa chini..hii ni habari njema sana naipenda hii couple...ila ni habari mbaya kwa Kidoti.Sasa ile gari ya Penny aliyonunuliwa na Platnumz atairudisha ama ndio ataambulia angalau ako kagari .

kwan ni akina nani hao??,wanasayansi ama viongoz wa taifa gan?,wanakusaidia nn katika maisha yako ya kila siku,una umri gani?,unafanya kaz gani na masaa mangapi mpaka unapata muda wa kujadili hayo?una elim gani ama na wewe n mfuasi?samahan lakin
 
umbea unanoga sasa picha gani?besidei ya nani?halima kimwana mdaka madanga mmoja hapa town alilala na domo pesa tamu akaamua kuwa kiwadi we mgoogle halima kimwana manywele utamuona tupige umbea sie wasiotaka umbea waende siasani afu ile show ya domo sikumbuki burundi au rwanda kulikuwa kuna besidei ya kakaye halima anahela ndeefu kumtumia kimwana ticket na marafiki zake 5 ndo hapo domo akapewa dili ikabidi domo apige show ha ha ha mjini raha halima kazi kukesha usiku mchana kulala kodi kila kitu domo na allowance juu akimpelekea watoto wakaliiiiiii siku akikosa mademu halima anaingia mzigoni.Mjini rariiiiiiiiii

Kweli Tanzania kuna viwanda vya uongo,nimeshindwa hata kushangaa uongo kama huu watu wanatunga tungaje
 
Back
Top Bottom