Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

Kuna wengine mnaponda kumbe mnawish it was you up there with her lakini ndio ame fall kwa diamond! Why dissing wakati its natural watu kupendana.. Kama wema katulia o not, au kama they make a great couple o not its none of anyone else's business BUT THEM!! Lets stop being HATERS jamani!
 
Huyo ni kunguru hafugiki kijana asijidanganye kama anaweza kummiliki huyo huyo kila mboo ni ya kwake

Laiti kila mtu mambo anayofanya yangekua yanaandikwa magazetini kama mambo ya wema! hakuna mtu ambae angemsema wema vibaya hapa!
Nawatakia kila la heri
wema na diamond safari waliyoianza iwafikishe wanakotaka kufika.
 
Hongereni sana.

Katika mapenzi kunatakiwa HESHIMA, UPENDO NA KUVUMILIANA, naona Mzee wa mbagala ameona kati ya hayo kwa bint Isihaka(Isac), tuwache kutaja mabaya ya wenzetu kwani nasi hatujui waume au wake zetu wakoje kwa kuwa hatutembei nao muda wote. DONT JUDGE A BOOK WITH IT'S COVER.
 
freesh, kijana kaamua kuchonga mzinga kabisa...but aangalie tu kama huo anawachongea nyuki wa aina gani
 
Nenda ka mwambieeee
jinsiiii navyommpendaa mii
naaa kamaaa mapenzii bado
mwambiiieee ntayaongezaaa...
 
nawakubali sana wakali wanaooa au kuwa na mademu permanent pasua kichwa huku wakijua!inaonyesha jinsi gani mwanaume yupo ready kukabiliana na changamoto!......wazee wakuogopa kugongewa wanaoa kijijini au waimba kwaya walokole feki au full mahijabu lakini bado wanagongewa!!!!!wema kiwango ile kitu haina makombo!
 
Mie nimepita tu,
Elimu inahitajika, umaarufu unajengwa kwa njia nyingi .
 
Kila shetani na mbuyu wake,ukisema wa nn wengine wanasema nitampata lini! ni kwavile wao ni mastaa tu ndio maana kila mtu anajua mambo yao ila wengine kwa vile hajulikani inawezekana yenu ni makubwa hata hayasemeki,kama ni mpango wa mungu nawaombea kila la kheri kwenye safari yao ya mapnz wafike kwa aman.
 
Huyo ni kunguru hafugiki kijana asijidanganye kama anaweza kummiliki huyo huyo kila mboo ni ya kwake

Ushindwe na chuki binafsi zako...ulitaka umuoe wewe?? binadam kwa kutabiria wenzao mabaya ndo zenu, walipotangaza kuwa pamoja mlisema hawatafika mbali, sasa amemchumbia mnasema ndoa haitadumu...dah kweli nimeamini ule wimbo wa bahati bukuku usemao "alipoianza safari walimtia moyo...alipoonesha mafanikio wakaibua vikwazo..... maadui ni wengi kuliko marafiki, ukishinda jambo watatoa unabii....kweli wema na diamond songeni mbele mkimtazama bwana yesu..." binadamu ndivyo walivyo, mkiwaangalia na mkishindana nao mtapoteza muda. THEY ARE JUST HATERS
 
nawakubali sana wakali wanaooa au kuwa na mademu permanent pasua kichwa huku wakijua!inaonyesha jinsi gani mwanaume yupo ready kukabiliana na changamoto!......wazee wakuogopa kugongewa wanaoa kijijini au waimba kwaya walokole feki au full mahijabu lakini bado wanagongewa!!!!!wema kiwango ile kitu haina makombo!

Ngoja mie niimbe huu wimbo "Wanawake wazuri wameolewa na wengine kuchumbiwa yamebaki manung'ayembe"
 
Jamani tuangalieni huyu bradha asije geuka juma nature na kumtungia huyu binti nyimbo za kashfa,kama oooh sitaki demu,mara oooh,kapigwa denda mpaka gari ikagoma kwenda,mara haya wewe si msaniii,nenda kaonyeshe kwenye tii vii,nakumbuka drama hizi zinafanana kabisa na za Nature na sinta!!
 
kwani wewe iwe drama au isiwe drama inakuhusu nini?? kama drama ni yao. kazi yako kama binadamu waombee heri tu na baraka na sio kutilia mashaka uamuzi wao
 
Duuuu, kaka anamoyo huyuuuu....... haya all the best kwa wapenzi.
huyu binti juzi kabambwa akitoka gesti na Mlela asubuhi diamond akiwa safari au ndio mambo yale aliyoimba Mwana FA 'aliyelala na mvishwa pete jana yake hakuwa mvisha pete' ? tuombe pete iweze kumbadili,binafsi nilimfahamu huyu binti miaka kadhaa ilopita kikazi she is soo sweet lakini anadanganyika kirahisi sana na anaamini kila mtu.
 
Back
Top Bottom