Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

Nawakaribisha kundini. Ila kuweni makini, maana hiyo ni pete yauchumba sio ndoa. Inaa maana bado mko katika uchumba. Sasa fanya kweli. Fungu pingu za maisha kulingana na imani zenu.
 
siongei naona kijana amefika juzi kwenye bufee la mademu kwa hiyo kila la kheri.........................
 
Kwenye Cluds TV-Take One and Action wameonyesha...duh full madenda aisee..they are real true perfect couple!!
 
All the best guys.. You got be serious to prove wadaku wrong!!!
 
Hi Diamond, this time you win!
Wema is a very pretty woman, and she knows how to take care of his man.

Sisi twawatakia maisha mema, mzidi kunoga na hatimaye mfunge ndoa
 
ni mzuri na kama ameamua kutulia watakua na familiya tamu sana .............wema kampenda sana diamond ndio mana anamsikiliza sana na kumuheshimu mno mana mpaka kaacha disco kwa miez 6 hii kweli inaonesha na yy pia kaingia mzima mzima kwa diamond
 
Kila shetani na mbuyu wake mwaya!go head and prove them wrong...you will make a nice family!me i loved ur deep kisses cku ya bthday, aisee raha ya mapenz kujiachia, acheni wanafki wachonge na waombeeni maisha marefu waone success zenu na ndoa yenu, all the best wema and diamond!i love to see lovers,hv nanai asiyejua raha ya penzi?mani asiyejua raha ya kupendwa?waacheni wajipe raha jamani na wenye wivu wajinyonge!
 
Jamaa keshavalisha pete jana mbele ya maza ake!! Kadai sepetu ana heshima sana mbele yake.
It was suprising kwa Wema Sepetu, she ddnt expect such beautiful event. It was a Diamon Bday by the way.
Ikafuatiwa bonge la Bash ndani ya New Maisha Club

jsdkdg.jpg


13z7vcp.jpg


2j43jia.jpg


2hnnewy.jpg
Du labda Wema atatulia
 
Jaman sikitiko la mahaba ushinda msiba,ni bora awe nae kuliko kumwacha ili awe na peace of mind, maana kipendacho roho...,
 
[video=youtube_share;6LKIaWD9Sck]http://youtu.be/6LKIaWD9Sck[/video]
Dogo alipagawisha ila wasiwasi kumegwahovyo ataacha??
 
Hongera sana kwao, Diamond anaonekana ni mwanaume anayejali sana uhusiano wake, kama mashairi ya nyimbo zake yalivyo, mwanamke anatakiwa kupendwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa na kubembelezwa kwa lugha tamu, sio kupigwa na kutukanwa, hata uwe bilionea wa aina gani kama humtendei mazuri girl au mke wako kila mara, iko siku atachoka na kuamua kukuacha, Diamond naona kweli anajua kuuliwaza moyo wa Wema, ndio maana Wema ana mheshimu na kumsikiliza zaidi.
 
Nasikia Wema kabla ya kuwa Miss Tanzania, alikuwa ametulia sana, hata alipobadilika na kuanza kuwapanga mastaa wa kiume, watu wanaomfahamu hawakuamini wala hawakutegemea kama kuna siku atakuwa hivyo, tumuombee Mungu azidi kubadilika na kutulia na Diamond wake.
 
Alishindwa kuacha kipindi kaolewa na Jumbe ndio ataacha leo kwenye uchumba? Kumbuka kuwa tabia haina dawa. Tunawatakia kila la kheri.
 
Back
Top Bottom