Diamond anauliza ampende nani??

This woman is very stupid. Imagine someone's wife wriiting those words. Shame on you. In other words, she want to tell us that she has made love with only two people: diamond and his husband.
 
NIlihisi "the romantic" ni promoter wa Diamond since alipoanza kuleta yale masredi yenye takataka za wema na diamond.... Ok
Hii njia nilihisi tu.....ni promo....nasikia london kauliza mashabiki ampende nani kati ya hao wawili.....dogo hamanzo kweli....ila kibongo gongo atakula ujiko sana....
 
Genuinely... I wonder what they see in the kiddo....
The 6 inches...lol!
Napinga kabisa hiyo ya kusema huyu 'mvulana' anawachezea wasichana
Yaani wao si wanajua kabisa wanachanganywa? Now why blame smone else?
 
The 6 inches...lol!
Napinga kabisa hiyo ya kusema huyu 'mvulana' anawachezea wasichana
Yaani wao si wanajua kabisa wanachanganywa? Now why blame smone else?

Unajua nini my dear...Nadhani huu ndo mwanzo wa kufulia.. Huyu almasi sijui kama hayo anafanya ni kweli basi kipaji kitaondoka sasa hivi....
 
Huyo mwanamke hapo juu anaejitamba alishawahi toka na diamond ni mpumbavu.
 
The 6 inches...lol!
Napinga kabisa hiyo ya kusema huyu 'mvulana' anawachezea wasichana
Yaani wao si wanajua kabisa wanachanganywa? Now why blame smone else?

hahahaha! 6 tu? Hio si regular size jamani....lol

Unajua nini my dear...Nadhani huu ndo mwanzo wa kufulia.. Huyu almasi sijui kama hayo anafanya ni kweli basi kipaji kitaondoka sasa hivi....

Good morning Zion D...
 
Du kweli luv doesn't ask why,yani galacha(kilaza) diamond 4m 2 kamla mtoto jokeri mwenye degree wakti mwana FA na Master yake kashindwa haaaaa
 
Bidada gudafternoon.Nadhani leo ulikuwa na usk mrefu sana na ndo unaamka..All in all I hope kila kitu kipo shwariii.

Amini usiamini I thought saizi ni kama saa nne: God! Si bora hata nimekusalimu, ningekua bado nafikiri mapema... No wonder njaa yauma...lol (namshukuru Maanani, kila kitu kipo shwari)
 
Unajua nini my dear...Nadhani huu ndo mwanzo wa kufulia.. Huyu almasi sijui kama hayo anafanya ni kweli basi kipaji kitaondoka sasa hivi....
Ndo nyota wa bongo hawa, wanalewa umaarufu mara moja na kushahau hata kilichowafikisha walipo....

Anyway; ujana ni moshi, ukienda haurudi!
 
Amini usiamini I thought saizi ni kama saa nne: God! Si bora hata nimekusalimu, ningekua bado nafikiri mapema... No wonder njaa yauma...lol (namshukuru Maanani, kila kitu kipo shwari)
hujaenda kujenga taifa leo?
Nimefurahia ratiba yako...e.g kula mpka usikie njaa kwanza.
 
Back
Top Bottom