Diamond anauliza ampende nani??

Najua ntaitwa hater. Lakini mwanaume unafikie hatua ya kujiremba hivi? Thats not man enough. Piga scrub sawa ila mpaka malip bum sijui lip shine. Khaa inatia kinyaa!!

mie ndo nimepata kichefuchefu malipgloss sijui malipshine mwanaume mzima? Loh
 
kumbe huyo ndio diamond! sa mbona ana mdomo kama CHAI JABA.
 
Hizi promo za wazi mnazomfanyia huyu kijana inabidi mlipie ..Hii ni promo ya album .Nafikiri habari za Huyu Diamond ,Jokete na Wem mngezipeleka U-turn ,mjegwablog ama michuzi ndio kuna washabiki wao na hata wanunuzi wa kazi zao.Kwenye jukwaa hili hawafit na wataishia kuchambuliwa kiundani mwishowe hiyo promo unayompa ikawa ni bure.
 
Ni wazi utakua umekurupuka mzee,mi ndio mara ya kwanza kuleta mambo ya huyu mtoto humu,na hii nimeifanya kutokana na ushamba wake,maana dogo kalishwa perege anatangaza mji mzima eti kala samaki sasa akilishwa pweza si matangazo yafika mpaka cnn naona!huyu kweli anatoka mbagala!

Ivi unajua inflation rate imefika 19.2%?
 
Mbona Wanaigeria na Kongo wameanza kujiremba na kujichubua siku nyingi lakini dada zetu ndo kwanza mnakimbilia uko kama vipofu?
 
Mbona Wanaigeria na Kongo wameanza kujiremba na kujichubua siku nyingi lakini dada zetu ndo kwanza mnakimbilia uko kama vipofu?
Thats how you get pussy, ..... staying clean and sexy!!, the dirty ones don't get none, even when they get some... it's the conservative, tribal type.

Plus you didn't pay for it, so why hating?
 
Ah! Kijana inabidi aende jando. Anasumbuliwa na ulimbukeni. Don't throw your dirty linen on the street
 
Thats how you get pussy, ..... staying clean and sexy!!, the dirty ones don't get none, even when they get some... it's the conservative, tribal type.

Plus you didn't pay for it, so why hating?
I'm a man..Why should i hate men who like to look as women while it means more women for me..lol
 
I'm a man..Why should i hate men who like to look as women while it means more women for me..lol
Exactly, do you!!.... don't worry about the next dude.

Kila mtu na maisha yake.
 
Maskini akipata ma..ko hulia patwa! Badala ya kuhangaikia talent growth yake, anainvest kwenye ngono na umaarufu! Ngoja tuone hizi comedy zitaishia wapi! Am afraid he is set to lose!
 
People do make mistakes without knowin yec, bt dic guy kavurunda live anajiona! Jokate....dah, neva knew she could go dat low
 
People do make mistakes without knowin yec, bt dic guy kavurunda live anajiona! Jokate....dah, neva knew she could go dat low

He did not know/ and so far, he is not aware. to him and people of his calibre, that is the greatest achievement!

I am so sory about Jakate, I have always admired the girl....... . I was made to believe she does not belong to the same group like Wema, Irene and eunt Ezekiel.....
 
I hate to think kwamba ni kweli Jokate ameliwa uroda na Diamond, yani nilikuwa nakaa kuamini sababu nilikuwa namkubali Jokate kwa kutoandikwa na magazeti na kutokuwa na skendo za ajabu, lakini kwa hili kaingia mkenge na niabu sana

Facts
1). Jokate ajatokea kwenye chombo chochote cha habari na kukanusha kuwa hajaliwa uroda na Diamond
2). Diamond naye ajasikika kokote akipinga kutokumla uroda Jokate
3). Immediately Diamond kaingia studio na kutunga wimbo wa nimpende nani na kumponda Wema kwa kutolewa sana kwenye magazeti kusema sio mila zake/zao. Na kumrusha Jokate kuwa ni mpole
4). Kwenye show ya ulaya juzi kati hapo Diamond nasikia akauliza mashabiki wakati akiperform kuwa wataka yeye awe na nani kati ya Wema au Jokate
5). Mpaka Wema kwenda kwenye chombo cha habari na kusema kauli kuwa Jokate kaliwa uroda na Diamond on public tv inaashiria kuna jambo sio rahisi kukurupuka tu
6). Na the fact kwamba Wema kaondoka nyumbani kwa Diamond na kurudi kwao, ishara pia
7). Ya mwisho ni kidhibitisho cha shooting ya Mawazo wimbo mpya wa Diamond mpaka Jokate amekubali kufanya shooting hiyo inaonesha wazi alikuwa ana/wana plan mana Jokate huwa hakubali mialiko ya shooting za kibongo kwa madai zitamshushia hadhi yake!

Raia wanabisha tu eeeh sio rahisi Jokatw kutoa uroda kwa Diamond wakati facts zinaonesha hivyo. Am Sad for both of them, dont know what they teaching their society now!!!
Like it or not ni kweli Jokate kaliwa uroda aise:closed_2:

jocate.jpg

Jokate, you are too innocent to be involved with these hooligans..... I had very high respect for you.

This is the price you have to pay. Pole sana mdogo wangu.
 
BE WARNED...SHUGHULI YA DIAMOND NZITO....
Written by Mange
Sunday, 18 December 2011 19:38

Hie Mange na wana uturn wote kwa pamoja.

Mimi nimeona bora nijitokeze mbele ya wote na kumuelezea huyu diamond kiundani kwa vile nimeona wengi humu wana jiuliza huyu diamond ana kitu gani mpaka anachanganya masupastar wetu.

Ndio wengi mmedai huyu kaka ni wa mbagala na hana kitu na hana pesa yoyote na kujiuliza je ni kwanini watoto wa masaki wanamfia?

Nimeona niwape low down. Jamani kina dada kama Diamond ni mwanaume wa ukwee. Ni kidume cha mbegu, sijui niwaeleze vipi.

Mimi nilikutana nae miaka zaidi ya mitano iliyopita kipindi hicho alikuwa hata bado hajawa star na hajaanza kuimba, kipindi hicho alikuwa anauza mitumba. Mimi nilikutana nae nilivyoenda kununua mitumba, basi tukaanza mazoea maana alikuwa anakuja mpaka home kwangu kuniletea nguo. Sijui nini kilitokea hapo katikati ila nikajikuta naanza kumcheat mchumba wangu sababu ya Diamond.
Diamond ana maneno matamu sana na yuko charming mno. Yani ukiwa nae ni raha tupu, ana utani mwingi sana na maneno ya mapenzi vitu ambavyo wanawake wengi wanapenda. Mbali ya hicho ana kitu kimoja ambacho hakuna mwanamke yoyote anaweza kuresist.

Ana bonge moja ya ‘mndinga' ,msimumone mwembamba vile, weight yake yote ipo sehemu moja. Yani this guy is something else when it comes to mambo yale. Kama umeolewa utaacha mume, kama una mchumba utavunja uchumba, hutojali hata kwenda nae gesti za shingi mia 500. Yule jamaa akikugusa hutoki tena. Kwakweli tuache kuwa judge hawa kina Wema, Jocate,sijui jacky wolper mimi kwa kweli naelewa kinachowachanganya kwa yule kaka. Yani hata akikwambia hakutaki unaweza kumlilia sababu ya hiyo shughuli yake.

Kwa kweli mpaka sasa nina miake 34 sijapata kuona mwanaume aliejaaliwa kwenye idara ile kwa huyu kaka. yani sijui nieleze vipi mie ni mdada mwenye heshima zangu na nina maisha yangu mazuri tu na nina kazi nzuri yani nilikuwa nashindwa hata kueleza rafiki zangu ninatembea na muuza mitumba (diamond).mpaka sasa hivi nimeolewa sijawahi kumtajia mume wangu nimewahi kutembea na diamond. yani sijawahi kumwambia mtu yoyote ila kusema ukweli kila ninapo kuwa shughulini na mume wangu huwa ninamuwaza huyu kaka.sijui kama nitakuja kumsahau.na kusema ukweli kama ingetokea akanifata tena sidhani kama nitakuwa na nguvu ya kumkataa. kipindi hicho niko nae alikuwa yuko na wanawake wengine wawili na wote tunajua ila hakuna aliekuwa na ujanja wa kumuacha.

So kina dada nawapa warning tu, msimsogelee kwa yule kaka mkasema mnaenda kuonja tu. Pale hakuna kuonja,hutoweza kuachana nae mpaka siku yeye atakapoamua hakutaki tena, so cha maana kaaeni nae mbali sana yule. Yani kama ni kusomea yule mwenzenu ana Phd ya ngono, na kwa size basi sijui ndo wanaita 6 inches au labda 8 inches.

Ni hayo tu kwa leo…

Mange email yangu kapuni tafadhali




Ingia humu kusikiliza nyimbo mpya ya diamond, kamsifia jokate na kumpiga madongo wema sepetu.
UPDATE:

Wana uturn sababu hii topic ya Diamond imerudi tena uturn nimeona bora ningeze hii . This diamond guys is full of shit and does not respect women, jana alikuwa ana perfom hapa London na katikati ya concert he had the audacity kuuliza mashabiki eti wanamtaka Wema au Jokate eti tumsaidie kuchagua. This guy is not serious, na anachezea watoto wa watu. I mean really wanaume wa bongo mbona hamna hata haya hivi kweli aliwezaje kusimama pale na kuuliza swali kama hili?

source:Blog ya Dubai
 
Back
Top Bottom