Dhana ya USALITI ndani ya CHADEMA na Hatma ya Demokrasia ndani ya vyama vya Siasa

Kadi sio hoja wengi tunazo kama kumbukumbu kwani lichama lenyewe linaelekea kufa tutaziweka makumbusho.,Hebu kuwa makini kidogo kufuatilia track za huyo unayemtetea kuanzia pale alipoikwaa kamati ya madini.

tatizo hakuna atayekupa real evidence sanasana tetesi tu
 
tatizo hakuna atayekupa real evidence sanasana tetesi tu

Kama haujui kusoma hata picha hauioni???Usaliti katika harakati za mabadiliko ya kuung'oa utawala dhalimu wa kijani hajaanza jana wala leo kazi yake kurukiarukia hoja na kuuyumbisha UMMA kusudi kauli ya ni upepo tu utapita itimie.Hebu nikuulize katika sakata la madaktari alitoa tamko(kauli)gani???
 
Leo ZITTO KABWE anaonekana msaliti, ingekuwaje kama Zitto angekuwa na kadi hai ya CCM kama DR.SLAA na hataki kuirudisha? Wanachadema tungekuwaje hasa wale wanaomwita msaliti?

Watu kama kina Shibuda walishawahi kutamka hadharani uzushi kuhusu chama chetu na mpaka leo ameachwa kama akiba, je hakuvunja katiba au kwa kuwa hana madhara kwa uongozi wa juu? (muungwana Mnyika tu)

Leo tunamnyooshea kidole Zitto; je, viongozi wetu wa juu ni wasafi?

Wanachadema tufikirie kwanza kabla ya kukaririshwa wimbo wa "Zitto msaliti". Wapo vijana Makao Makuu ni waganga njaa tu hawana vision na watanzania maskini zaidi ya posho kidogo wanayopewa na wazee ambayo imetokana na kodi ya wananchi, vijana tubadilike tusitumike.

Pia katika mikutano kadhaa ya chama iliyofanyika kwa nini hoja ni wasaliti tu na isiwe gharama za umeme, kodi juu, ukiukwaji wa haki za binadamu na kutokuwajibika kwa serikali ya CCM au ni kuishiwa hoja?

Mimi ni mwanaCHADEMA hai na CDM inahitaji uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2015.

Hoja ya msingi hapa ni usaliti aliouanda kupindua viongozi waandamizi wa chama na sio kadi ya dr slaa aliyokuwa ameilipia miaka kadha akiwa ccm kwa kuwa haina madhara yoyote km ambavyo inakwenda kutokea kwa zitto atajiunga na chama kingine na huku kadi yake ya cdm ameilipia miaka mingi.
 
Ndugu wadau hususan wana jf nimekuwa nikifatilia siasa ndan ya chadema kwa muda mrefu hasa juu ya kile kinachotafsiriwa usaliti wa mh zzk na kufikia hatua ya kujiuliza maswali mengi mf kati ya mh zzk na shibuda hiv ni nan hasa msaliti.

Mara nying tumekuwa tukimuona mh shibuda akijitokeza wazi kwenye vikao na mikutano ya ccm na kukisema chama kimafumbo lakin hatujawah kusikia chama kikimjadili kama wanavyomjadili sasa mh zzk ambaye mara nying amekuwa akijitoa kujenga chama katika mikoa mbalimbali tofaut na shibuda.

My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi
 
Ni heri kudhoofisha chama kwa kuwaondoa wahujumu kuliko kuwaacha na kukiua chama kabisa. Zzk ni muhujumu wa chama akiachwa ataendelea na mikakati yake na kukisambaratisha kabisa. Hilo ndilo lengo lake kuu. CCM hawakumpa uenyekiti wa kamati ya kudumu kwa bahati mbaya, ni mkakati wa muda mrefu. Wasira aliporopoka kwamba CDM itasambaratika kabla ya 2015 alijua ni mikakati gani wanafanya. Kwa hiyo ninyi wapiga debe wa Zito ama hamjui mnachokipigania au ni sehemu ya mapandikizi.
 
Leo ZITTO KABWE anaonekana msaliti, ingekuwaje kama Zitto angekuwa na kadi hai ya CCM kama DR.SLAA na hataki kuirudisha? Wanachadema tungekuwaje hasa wale wanaomwita msaliti?

Watu kama kina Shibuda walishawahi kutamka hadharani uzushi kuhusu chama chetu na mpaka leo ameachwa kama akiba, je hakuvunja katiba au kwa kuwa hana madhara kwa uongozi wa juu? (muungwana Mnyika tu)

Leo tunamnyooshea kidole Zitto; je, viongozi wetu wa juu ni wasafi?

Wanachadema tufikirie kwanza kabla ya kukaririshwa wimbo wa "Zitto msaliti". Wapo vijana Makao Makuu ni waganga njaa tu hawana vision na watanzania maskini zaidi ya posho kidogo wanayopewa na wazee ambayo imetokana na kodi ya wananchi, vijana tubadilike tusitumike.

Pia katika mikutano kadhaa ya chama iliyofanyika kwa nini hoja ni wasaliti tu na isiwe gharama za umeme, kodi juu, ukiukwaji wa haki za binadamu na kutokuwajibika kwa serikali ya CCM au ni kuishiwa hoja?

Mimi ni mwanaCHADEMA hai na CDM inahitaji uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2015.

Ulianza vizuri sana mkuu lakini umekuja haribu pale unapokuwa one sided....

Ulisema tuseme ukweli but hapana hata sehemu moja ulipoonyesha makosa ya zzk kimtazamo wako zaidi ya kuleta collective acusation.......kama ulivyosema pana watu wamefanya makosa but hawajachukuliwa hatua ni ushaidi tosha kuwa chama chetu ni kivumilivu......

Hata shutuma za Zitto ziliznza 2009 leo amekujachukuliwa hatua 2013 na zaidi makosa ya kila mumoja ni tofauti na madhara yake pia ni tofauti......tofauti na wengine zzk alikuwa ni kiongozi mkubwa sana kwenye chama kuliko hao unaowasema leo....... Kingine ambacho ulichokosea kwenye andiko lako ni pale unapotaka kuaminisha watu kuwa viongozi walioko ni wabaya na hawana msaada wowote so far...na solution unaloliona japokuwa hukuwa wazi ni kuwa zzk akiwa chair baasi cdm itakuwa imara.....

Ndugu yangu kiongozi anakuwa groomed na si kuchomoza tuu, tazama huyu anayetaka kuwa chair mkoani kwako kafanya nini kukijenga chama?tazama jimboni kwake ana only one diwani alafu leo wataka kuwa chair....kama hayo hayatoshi fuata taratibu za chama kwa lolote ulitakalao(rejea karipio la mangula kwa lowasa)....jaribu kuwa na mtazamo huru na si kuwa lopsided coz t z zzk.....tukiruhusu uhuni wa zzk uendelee then hatuna chama.....kama ambavyo anaona he z too smart than anyone in cdm ajiondoe
 
Last edited by a moderator:
namaanisha mashtaka ya zitto yangekuwaje kama angekuwa na kadi tuseme mfu ya ccm? kwa nini wanataka afukuzwe kipindi hiki ili hali mwanaccm robo tatu kama shibuda akiachwa? mkuu binafsi nasikitishwa sana na mivutano hii inayodhoofisha chama

Kwa nini hujiulizi kuwa mbona kuvuliwa madaraka kwa Akina Zitto na wenzake walioumia sana na hatua hiyo ni CCM? Mpaka hapo akili yako bado haijafunguka tuu? Zitto sasa ni historia tuu ndani ya Chadema.
 
Hata mie cha kusema hapo ninacho Zitto ni mwanzo tu wa kutaka chama kife kwa kukosa busara, hekima na adabu kwa pande zote za chama lakini tukumbuke kuwa kuna M2 ambaye sasa anaratibu ziara za katibu mkuu ambaye ni Waitara sasa na huyu baada ya Zitto kukotozwa na Waitara ataamsha mgara ni mgogoro mwingine kwa chama tuwe makini sana tiari watanzania tunataka mabadiliko
 
Siku zimepita sasa toka hili neno lianze kushka kasi kwenye media. Chadema wamekuwa wakitumia hili neno kama kigezo cha kuwaadhibu baadhi ya viongozi ambao kwa namna moja ama nyingne wameonekana kwenda kinyume na maslah ya wakubwa wa chama.

Zzk alionyesha nia ya kumchallenge mbowe kwenye uenyekt akaitwa msaliti, diwani wa majengo kahama nae ameitwa msaliti na akina slaa na mnyika na kuambiwa hatakiwi ndani ya chama kisa alionyesha kuwa karibu na zito nk nk.

Mi nadhani cdm hii dhana ya usaliti inatumika vibaya. Kama ufuatiliaji wa hakika ukianza nadhan hadi viongozi wa juu watakuwa ni wasaliti.
Mbona mbowe anasaliti chama na taifa kwa kumkatsha joyce ziara kwa mambo yake binafsi?, mbona slaa anaendelea kulipwa mshahara wa ubunge wakati sio, je hii pesa si ingetumika ktk shughul nyingne za kuendeleza chama? Je, huu si usaliti pia kwa harakat za ukomboz? Mbona makene amekalia kurugenz ya habar lakn toka opd imeanza hajawah kutuletea update yoyote hapa jamvini ilhali akijua ni wajibu wake kuwajulisha wanamapinduz kinachoendelea? Je huu si usalit pia?

Tukianza kufuatilia maana halisi ya usaliti na wasaliti ndani ya chama hakuna atakayepona.
Hili neno limekuwa kama wimbo sasa kwa wana cdm kias kwamba kuna watu sasa hv hawana kaz nyngne ila kuangalia usaliti hata kwa kumbambikia mtu tuhuma hzi ikibid. Tufkie kpind tubadilike cdm.

Take it from me hii dhana ya kubagua watu kwa kisingizio cha usaliti madhara yake ni makubwa na itakuwa ngumu ku-reverse yakishatokea
 
Kama mambo hayakuhusu kwanini yakuumize akili yako? Huna kazi ya kufanya? Sijui unapataje kipato chako kwakweli
 
Pesa ambazo ZITTO aliziandikia ANDIKO(writeup) mpaka zikapatikana kwa ajili ya shughuli za CHama nazo zinaingiza usaliti kwa kuanzisha magazeti ya TANZANIA DAIMA la MBOWE na lile la Mwana-HAlisi chini ya SAID kubenea na ANTONY KOMU na vile vile ANTONY KOMU akanunua SHamba la hekari 40 kule Bagamoyo. Mambo yote haya ni usaliti.
 
hapo sasa
 
Hiyo ni demokrasia ya mbowe na mwasisi wa chama. Ole wako wakusikie ukihoji hoji hayo mambo
 
Back
Top Bottom