Dhambi ya bandari haitamuacha Jakaya Kikwete

Dhambi hii haisameheki, duniani hata mbunguni, haita iacha na itazidi kuitafuna CCM na serikali yake,

Hujuma ya uchumi iliyofanywa na familia ya Kikwete kwa kushirikiana na Home Shopping Centre; itawatafuna familia hii mpaka hapo DHAIFU atakapopata ujasiri wa kuomba msamaha kwa WATANZANIA!
 
Wakati huo wa awamu ya tatu ya mzee Mkapa US dola moja ilikuwa sawa na Sh 450 - 600.
Kilo ya nyama ilikua sh 2000.
Sukari 1kg sh. 450- 500.
1 Kg ya Unga wa sembe sh 180 - 200/-
Lita moja ya mafuta ya taa ilikua sh.400- 500.

JK ameondoka madarakani US $ ikiwa sawa na Tsh 1800 - 2200.
Kwa hiyo ukipiga mahesabu ya uwezo wa kulipa madeni wakati wa mkapa na wakati wa JK utagundua kua makusanyo wakati wa JK yalishuka sio kupanda.

Kwa hesabu rahisi ni kwamba wakati wa Mkapa kila sh. 1000/= iliyokusanywa ilikua na uwezo wa kulipa dola 2 kwenye madeni ya nje.
Ambapo mpaka Kikwete anaondoka madarakani Kila sh.4000/= za makusanyo ya pato la nchi ndiyo iliyokua na uwezo wa kulipa dola 2 za kimarekani.
Kwa hiyo ilibidi JK akusanye tsh tril.1.5 ili aweze kuwa sawa na bil 350 za enzi za Mkapa.
Kwa makusanyo ya tr.1 za JK alikua ameshuka sana kutoka na kuzidiwa na wakwepa ushuru kuongezeka kwa kasi huku deni la taifa likipaa na matumizi ya serikali kuwa juu muda wote wa sanaa ya uongozi wake.
Yanayojitokeza kwa sasa kupitia serikali ya Magufuli yanakifuta hata kile ambacho Rais Kikwete alikifanya kwa manufaa ya taifa.
 
Hujuma ya uchumi iliyofanywa na familia ya Kikwete kwa kushirikiana na Home Shopping Centre; itawatafuna familia hii mpaka hapo DHAIFU atakapopata ujasiri wa kuomba msamaha kwa WATANZANIA!
Ha ha ha ha eti Dhaifu ni maajanga
 
thread ya bwe'ge katika ubora wake
umesema huo ukuaji wa uchumi wa 6.4% (kitu ambacho ni uongo) ulikuwa hauwanufaishi wananchi je huo ukuwaji wa 6.7% wa mkapa ulikuwa unanufaisha wananchi kwa kiasi gani?
negative price distortion ndo nini? (hii inaonesha jinsi ulivyo mpumbavu maana hata unachokiandika kwenyewe huelewi
na la mwisho kwa nini vitu vinavyozalishwa hata nchini viuzwe bei kubwa kuliko vilivyosafirishwa kutoka mbali hata kama havihalipiwa ushuru? kuna tatizo hapo zaidi ya hili unalofikiria wewe.

Nimesoma ulichopost naona wewe ndo mpumbavu.
 
Jakaya Kikwete alikuta mnakusanya Billioni 250 akawapeleka kwenye trillioni moja za kodi kama hamna cha kumkumbuka basi nyie wepesi wa kusahau na wachoyo wa fadhila!
Zikaenda wapi? Iweje deni la taifa lipae kufikia trl 40? Tungejivuna makubwa aliyofanya yawe yametokana na rasilimali zetu.
 
Uchumi uliopo siyo uchumi shirikishi ambao utawanufaisha wananchi wengi. Uchumi uliopo unawanufaisha watu wachache ambao msingi wa utajiri wao ni wizi na ukwepaji kodi.
Kleptomaniac ni mtu ambaye kutokana na matatizo ya kisaikolojia husukumwa kuiba na si kwa sababu ya shida au kukosa kitu. Ni ugonjwa wa akili.
Kleptocracy ni mfumo wa jamii unayoendeshwa kwa wizi. Bila kuiba hupati maendeleo katika mfumo huu, so kila mtu hulazimika kufuata mfumo ili kuuhimili na kuendelea.
Ukiona hali au mfumo umetafutiwa msamiati ujue ni vitu ambavyo vipo duniani na hata katika jamii zetu. Tutafakari.
wizi.jpg
 
Mkuu anzisha thread yako kuna jambo muhimu hapo lkn hapa si mahala pake.
 
Tril
Jakaya Kikwete alikuta mnakusanya Billioni 250 akawapeleka kwenye trillioni moja za kodi kama hamna cha kumkumbuka basi nyie wepesi wa kusahau na wachoyo wa fadhila!
Trilioni moja? Halafu ye akapoteza ngapi...
 
..vipi tena leo?

..dhambi ya kwanza ya JK ni IPTL.

..hizo nyingine zimefuata.

..kinachonisikitisha ni vile alivyoweza kuwarubuni wa-Tz.

..wapinzani wamepiga sana kelele. lakini mbele ya wananchi walikuwa wanaonekana wapumbavu.

..JF imepiga kelele kwa muda mrefu kuhusu utawala mbovu wa JK.

..yaliyopita si ndwele, tugange yajayo. Tuombe MUNGU Magufuli asije akatuhujumu.
Kinachoudhi na kusikitisha ni pale anapopita akisema amefanya mengi wakati tunajua ni hasara tu!
 
Kumjadili rais mstaafu katika mambo yasio na ushahid ni upumbavu na ujinga usio leta manufaa kwa taifa letu
 
Back
Top Bottom