Dereva wangu!

DA, lazima ufike mwisho wa safari, hiyo kesho yake majukumu mengine!

Ha ha ha Elia bana una mambo kweli mie safari ndefu siwezi labda awe dereva anaekwenda speed 180/hr naweza kujaribu lakini 80/hr mmmhh naishia arusha kama sio korogwe
 
Ha ha ha Elia bana una mambo kweli mie safari ndefu siwezi labda awe dereva anaekwenda speed 180/hr naweza kujaribu lakini 80/hr mmmhh naishia arusha kama sio korogwe

Safari ndefu na 80/hr wapi na wapi? at least 120/hr
 
Mhh umemwelewa kweli mwenzio??? Katumia LUGHA YA KIKUBWA HUYU SI GARI KAMA GARI ULIJUALO NA DEREVA KAMA DEREVA UMJUAE: TAFSIDA HAPOO UDUMU

Umeona ehhh wakiambiwa uwe na miaka more than 18 wanadanganya tarehe za kuzaliwa unaona matokeo yake sasa
 
Shida yako ni kununua gari au kubadilisha dereva? Kama gari siyo lako ni la kukodi tu mambo ya dereva yanakuhusu nini tena si ukodi gari jingine? Kwani ukinunua gari lazima umchukue na dereva wa hiyo gari?

Kuhusu vituo labda utuelimishe zaidi kuhusu umbali wa kutoka kituo kimoja mpaka kingine.Inawezekana anahitaji kwenda toilet kupunguza haja zake na hivyo lazima anawe. Sasa kuficha siri ya kuwa anaenda KUNYA anakuambia kuwa anaenda kunawa. Ulitakiwa uelewe kuwa kunawa kunatumika kama kiwakilishi tu. Au yawezekana ana tatizo la kiafya ambalo ni siri yake binafsi hivyo siyo haki kuanza kumuuliza akueleze.

The best way ni kumuuliza.
Ndugu kiongozi kunawa uko umekuelewa si kunawa mikono<ni kunawa mikono ya kiutu uzima si jui umenielewa?
 
ni msafi anapenda kuweka mazingira mazuri ya safari baada ya kituo kituo.yaan ajiweke soap soap. tatizo wewe unataka kuunganisha juu kwa juu yeye hapendi.
Nimekupata mkuu, ila vituo sio sawa kilasiku, siku ya kwanza nilikuwa na vituo vitano, siku ya pili vitatu. Na ni kweli huwa anakwenda kunawa
 
Kamanda, hii ripoti nsipoimaliza utakuwa na kesi ya kujibu.

Nawahi Kingstaa!

Habarrrr ake GX100 bana.....unahitaji draiva?

hahaha! Habari yake uvunguni mwa 106! Dereva muhimu, ila sitaki anaye nawa nawa uso km wa Elia..lol
 
Huyo dereva ni wa kukodi halafu safari wataka muunganishe,napata picha kuwa abiria hauko makini kwa kuwa kama oil imevuja baada ya mwendo tyubu yake inabidi ibadilishwe!!!Haiwezi kuunganishwa safari!!!Inaonekana hiyo gari na dereva haiwekwi tyubu kuzuia oil kuingia ndani ya injini kitu ambacho ni hatari sana.Tumieni tyubu vinginevyo muende gereji kucheki_kama hamjacheki kuna hatari ya baadae gereji zote kushindwa kutatua tatizo labda ile ya arusha.yaani kwa yule makanika mzoefu sana wa magari makuu kuu!!!!
 
Hapa wengine tukipataga madereva wanaoweka OVADRAIVU halafu anapiga ova ze limiti, daa unaweza ukamkodi jumla jumla
 
Kwa nini usianze ku focus kwa wewe mwenyewe abiria badala ya dereva? inawezekena hiyo perfume unayatumia huwa inamkera ndio maana huwa akifika kituoni ni lazima atoke akanawe, au huwa unamlazimisha akimbie sana wakati unajua hilo ni gari la kukodi tu mwenye gari anataka liwe fiti wakati wote.
 
Elia,
Huyo ndo dereva anyefaa na ambaye amependekezwa kwenye vitabu vinavyohusu mambo ya udereva. Tena si kunawa tu yatakiwa kila kituo aoge ndo muendelee na swafari. Na kukiwa na mafuta uzuri pia atumie ili kufanya kila mwanzo wa kituo ni kama mwanzo wa safari vile. Huyo si dereva wa kumuacha na ikibidi fanya haraka ununue na gari yake kabisaaa
No comment mkuu hapa kamaliza kitu..nasisitiza fanya kama alivyokuagiza.
 
Elia,
Huyo ndo dereva anyefaa na ambaye amependekezwa kwenye vitabu vinavyohusu mambo ya udereva. Tena si kunawa tu yatakiwa kila kituo aoge ndo muendelee na swafari. Na kukiwa na mafuta uzuri pia atumie ili kufanya kila mwanzo wa kituo ni kama mwanzo wa safari vile. Huyo si dereva wa kumuacha na ikibidi fanya haraka ununue na gari yake kabisaaa
No comment...........mkuu hapa kamaliza kilakitu..........Nasisitiza heshimu ushauri wake maana hakuna dereva mzuri kama yule anaefuata sheria tehetehete!!!!
 
kwanza nilidhani dereva taxi nikahisi mchawi nini hahaha! baada ya kurudia kusoma nikaelewa,baada ya kila kituo kunawa ni vizuri tena kwa wote. hapa wale vijana wetu wa secondary wanaambulia vumbi tu lol! Nimekugongea thanks nimependa lugha yako Elia.
 
Back
Top Bottom