Dereva wangu!

Wewe mtoa thread hivi una undugu na "Magulumangu"? Maana hili tafsida kiboko!
Hata hivyo ndugu usafi wa aina hiyo barabara za uswahilini ni mgumu, si unajuwa tena....

Uswazi pasport size! ... ha ha haaaaa
 
Hawa madereva i see we acha tu waangalia fikiria dereva anakomaa toka Nairobi mpaka Dar kesho tena anageuza Dar mpaka Nairobi hiyo ni kila siku lazima atumie kizizi na anasuuzia na mirungi.

Hiyo safari inachosha sana dar - nairobi aahhh mie naweza kulala arusha niendelee na safari kesho yake
 
Tunazungumzia gari ya Elia ni Beetle a.k.a mgongo wa chura

Hizi Bito si ndio machine a.k.a injini iko nyuma afu huwa haitiwi maji kwenye kipoozeo? Yaani inaendeshwa kavukavu, au nakosea mpwa?
 
Hizi Bito si ndio machine a.k.a injini iko nyuma afu huwa haitiwi maji kwenye kipoozeo? Yaani inaendeshwa kavukavu, au nakosea mpwa?

Ndo hizo hizo mpwa

Huyu Elia dereva wake kila kituo anasimama anapooza uso wake kwa maji
 
kuna watu wa kusini krb na nchumbiji ni wazuri kwa /driving school/ wanaweza kukupa technique za kumfanya driver wako apite hata vituo vinne bila kunawa. wanakufundisha jinsi ya kufunga /safe belt/ ukija kufungua tayari uko kituo cha tatu
 
Hebu tumwagie technique kdg mkuu!
 
Shida yako ni kununua gari au kubadilisha dereva? Kama gari siyo lako ni la kukodi tu mambo ya dereva yanakuhusu nini tena si ukodi gari jingine? Kwani ukinunua gari lazima umchukue na dereva wa hiyo gari?

Kuhusu vituo labda utuelimishe zaidi kuhusu umbali wa kutoka kituo kimoja mpaka kingine.Inawezekana anahitaji kwenda toilet kupunguza haja zake na hivyo lazima anawe. Sasa kuficha siri ya kuwa anaenda KUNYA anakuambia kuwa anaenda kunawa. Ulitakiwa uelewe kuwa kunawa kunatumika kama kiwakilishi tu. Au yawezekana ana tatizo la kiafya ambalo ni siri yake binafsi hivyo siyo haki kuanza kumuuliza akueleze.

The best way ni kumuuliza.

Mhh umemwelewa kweli mwenzio??? Katumia LUGHA YA KIKUBWA HUYU SI GARI KAMA GARI ULIJUALO NA DEREVA KAMA DEREVA UMJUAE: TAFSIDA HAPOO UDUMU
 
Back
Top Bottom