Dereva wangu!

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hata kama safari bado ndefu yeye kila kituo lazima ashuke na kwenda kunawa. Nimesha safiri naye mara mbili ishu ni hiyo hiyo.

Safari ya pili kusafiri naye nilikosa raha kidogo kwani kuna wakati napenda kuunganisha vituo yaani nikifika mwisho niunganishe yeye hataki kabisa, nikimuuliza kwanini anafanya hivyo ananiambia hapendi kuunganisha. Nilifikiria nibadilishe dereva lakini ukiondoa kasoro hiyo huyu dereva ni excellent…

Gents! mshakutana na dereva wa aina hii Ladies! tushee experiences.
 
Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hatakama safari bado ndefu yeye kila kituo lazima ashuke na kwenda kunawa. Nimesha safari naye mara mbili ishu ni hiyo hiyo. Safari ya pili kusafiri naye nilikosa raha kidogo kwani kuna wakati napenda kuunganisha vituo yaani nikifika mwisho niunganishe yeye hataki kabisa,nikimuuliza kwanini anafanya hivyo ananiambia hapendi kuunganisha. Nilifikiria nibadilishe dereva lakini ukiondoa kasoro hiyo huyu dereva ni excellent… Gents! mshakutana na dereva wa aina hii Ladies! tushee experiences.

Shida yako ni kununua gari au kubadilisha dereva? Kama gari siyo lako ni la kukodi tu mambo ya dereva yanakuhusu nini tena si ukodi gari jingine? Kwani ukinunua gari lazima umchukue na dereva wa hiyo gari?

Kuhusu vituo labda utuelimishe zaidi kuhusu umbali wa kutoka kituo kimoja mpaka kingine.Inawezekana anahitaji kwenda toilet kupunguza haja zake na hivyo lazima anawe. Sasa kuficha siri ya kuwa anaenda KUNYA anakuambia kuwa anaenda kunawa. Ulitakiwa uelewe kuwa kunawa kunatumika kama kiwakilishi tu. Au yawezekana ana tatizo la kiafya ambalo ni siri yake binafsi hivyo siyo haki kuanza kumuuliza akueleze.

The best way ni kumuuliza.
 
Nimekupata mkuu, ila vituo sio sawa kilasiku, siku ya kwanza nilikuwa na vituo vitano, siku ya pili vitatu. Na ni kweli huwa anakwenda kunawa
 
Kumuacha itakuwa ni last option, napenda kujua kama wanaume wengine mshawahi kutana na dereva wa aina hii? na vipi kwa akina dada?

Nimewahi kukutana na wa style hii..siku za mwanzo ilikuwa ni karaha kwangu ila nilizoea baadae,kila safari shuka kanawe na yeye pia anashuka anaenda nawa.mi nikamuuliza kwani vipi..yeye oo ndo nahisi safari itaendelea vizuri bila hivyo nakuwa sina hamu ya kusafiri tena..basi ikabidi nizoee..

Kwahiyo Elia we zoea tu ni kitu cha kawaida..madereva wengine uhisi kinyaa kuendelea na safari kama abiria na yeye hawajashuka kunawa.
All the best
 
Kuna gari naikodi, nimeipenda ikiwezekana niinunue moja kwa moja, kwasasa naitumia ninapo ihitaji. Dereva wa hili gari amekuwa na tabia ya kunawa kila tunapofika kituoni hatakama safari bado ndefu yeye kila kituo lazima ashuke na kwenda kunawa. Nimesha safari naye mara mbili ishu ni hiyo hiyo. Safari ya pili kusafiri naye nilikosa raha kidogo kwani kuna wakati napenda kuunganisha vituo yaani nikifika mwisho niunganishe yeye hataki kabisa,nikimuuliza kwanini anafanya hivyo ananiambia hapendi kuunganisha. Nilifikiria nibadilishe dereva lakini ukiondoa kasoro hiyo huyu dereva ni excellent… Gents! mshakutana na dereva wa aina hii Ladies! tushee experiences.
Elia,
Huyo ndo dereva anyefaa na ambaye amependekezwa kwenye vitabu vinavyohusu mambo ya udereva. Tena si kunawa tu yatakiwa kila kituo aoge ndo muendelee na swafari. Na kukiwa na mafuta uzuri pia atumie ili kufanya kila mwanzo wa kituo ni kama mwanzo wa safari vile. Huyo si dereva wa kumuacha na ikibidi fanya haraka ununue na gari yake kabisaaa
 
Nimewahi kukutana na wa style hii..siku za mwanzo ilikuwa ni karaha kwangu ila nilizoea baadae,kila safari shuka kanawe na yeye pia anashuka anaenda nawa.mi nikamuuliza kwani vipi..yeye oo ndo nahisi safari itaendelea vizuri bila hivyo nakuwa sina hamu ya kusafiri tena..basi ikabidi nizoee..

Kwahiyo Elia we zoea tu ni kitu cha kawaida..madereva wengine uhisi kinyaa kuendelea na safari kama abiria na yeye hawajashuka kunawa.
All the best
Sweetdada, wewe umemuelewa vizuri dereva wangu mydear! nashukuru kwa ushauri
 
Elia,
Huyo ndo dereva anyefaa na ambaye amependekezwa kwenye vitabu vinavyohusu mambo ya udereva. Tena si kunawa tu yatakiwa kila kituo aoge ndo muendelee na swafari. Na kukiwa na mafuta uzuri pia atumie ili kufanya kila mwanzo wa kituo ni kama mwanzo wa safari vile. Huyo si dereva wa kumuacha na ikibidi fanya haraka ununue na gari yake kabisaaa

The Following User Says Thank You to Lord For This Useful Post:

Elia (Today)​
 
Back
Top Bottom