Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa ni "laana" za mpemba mmoja.
Dereva huyo (kwa sasa ni marehemu) hivi karibuni aligonga gari ya mpemba huyu kule Singida na kumtia hatiani jamaa wa watu ambaye hakuwa na kosa.
Inasemekana madereva wenzie ambao ni polisi walimkava mwenzie ili aendelee na ulaji wa misafara ya JK na kumtia ndani mpemba huyu ambaye alilalamika kwa kusema, "yaani kugongwa nigongwe mimi halafu nawekwa ndani inshallah Mungu anaiona hii".
Basi baada ya siku mbili yule dereva wa msafara alibadilishiwa gari na kupewa ya matangazo kwenye msafara na wakiwa njiani alianza kijisikia vibaya hadi kushindwa kuendesha gari na kusaidiwa na mwenzie na hali yake ilikuwa mbaya hadi alipokimbizwa hospitali ya mission Itigi kabla ya kuletwa Muhimbili kwa ndege ambapo alifariki dunia juzi usiku.
Ama kweli malipo humu humu duniani..