Dereva wa msafara wa JK afariki

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa ni "laana" za mpemba mmoja.

Dereva huyo (kwa sasa ni marehemu) hivi karibuni aligonga gari ya mpemba huyu kule Singida na kumtia hatiani jamaa wa watu ambaye hakuwa na kosa.

Inasemekana madereva wenzie ambao ni polisi walimkava mwenzie ili aendelee na ulaji wa misafara ya JK na kumtia ndani mpemba huyu ambaye alilalamika kwa kusema, "yaani kugongwa nigongwe mimi halafu nawekwa ndani inshallah Mungu anaiona hii".

Basi baada ya siku mbili yule dereva wa msafara alibadilishiwa gari na kupewa ya matangazo kwenye msafara na wakiwa njiani alianza kijisikia vibaya hadi kushindwa kuendesha gari na kusaidiwa na mwenzie na hali yake ilikuwa mbaya hadi alipokimbizwa hospitali ya mission Itigi kabla ya kuletwa Muhimbili kwa ndege ambapo alifariki dunia juzi usiku.

Ama kweli malipo humu humu duniani..
 
Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa na "laana" za mpemba mmoja.

Dereva huyu (marehemu) hivi karibuni aligonga gari ya mpemba huyu kule Singida na kumtia hatiani jamaa wa watu ambaye hakuwa na kosa.

Inasemekana madereva wenzie ambao ni polisi walimkava mwenzie ili aendelee na ulaji wa misafara ya JK na kumtia ndani mpemba huyu ambaye alilalamika kwa kusema, "yaani kugongwa nigongwe mimi halafu nawekwa ndani inshallah Mungu anaiona hii".

Basi baada ya siku mbili yule dereva wa msafara alibadilishiwa gari na kupewa ya matangazo kwenye msafara na wakiwa njiani alianza kijisikia vibaya hadi kushindwa kuendesha gari na kusaidiwa na mwenzie na hali yake ilikuwa mbaya hadi alipokimbizwa hospitali ya mission Itigi kabla ya kuletwa Muhimbili kwa ndege ambapo alifariki dunia juzi usiku.

Ama kweli malipo humu humu duniani..

Jamaa hawajakata Insurance ya Sheikh Yahaya?
 
RIP dereva, ila inasikitisha kuona watu fulani kama JK an kikundi chake kuwa ndo wanaona wana haki ya kuishi na kuiongoza Tanzania kuliko wengine.
 
wamezoea kukaa juu ya sheria sasa yatawatokea puani. sasa naamini hata babu seya atatoka jerezani na yote yatafunuliwa.
naomba kama kuna mwenye namba ya huyo mpemba anitumie.nataka kukomesha hawa wanyanyasaji please mfunyukuzi.
 
Ama kweli malipo humu humu duniani..

Mfunyukuzi, malipo gani hayo yasiyo na majuto!!! Unajua mimi huwa sioni kama kifo ni adhabu nzuri kwa mkosaji, manake ndo hayupo tena wala hana muda wa kujuta juu ya yale aliyoyafanya. Adhabu nzuri ni kuishi muda mrefu kwa mateso makali ili ajutie kabla ya kufa. Sasa huyu kaugua siku mbili na kufa, kalipwa nini hapo zaidi ya kujipatia pumziko la milele?
 
JK kamtoa kafara huyo. Watakufa wengi mwaka huu, walinzi wa sheikh Yahya wanahitaji kulishwa na hiyo ndio chakula yao.
 
Mfunyukuzi, malipo gani hayo yasiyo na majuto!!! Unajua mimi huwa sioni kama kifo ni adhabu nzuri kwa mkosaji, manake ndo hayupo tena wala hana muda wa kujuta juu ya yale aliyoyafanya. Adhabu nzuri ni kuishi muda mrefu kwa mateso makali ili ajutie kabla ya kufa. Sasa huyu kaugua siku mbili na kufa, kalipwa nini hapo zaidi ya kujipatia pumziko la milele?
Kama ni kweli MPEMBA kafanya mambo katoa adhabu isiyostahili ingetakiwa apate mateso japo kidogo!
 
RIP Dereva wa JK.
Angalizo: Death is a serious matter, kifo sio kitu cha mchezo, tusikifanyie dhihaka!.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom