Dereva wa msafara wa JK afariki

Amekufa kwa ugonjwa wa kawaida tu kwa kuto cheki mapema na kuwahi hospitali.
 
Dereva wa msafara wa JK anayeendesha gari aina ya Freelander amefariki dunia juzi baada ya kile kinachodaiwa ni "laana" za mpemba mmoja.

Dereva huyo (kwa sasa ni marehemu) hivi karibuni aligonga gari ya mpemba huyu kule Singida na kumtia hatiani jamaa wa watu ambaye hakuwa na kosa.

Inasemekana madereva wenzie ambao ni polisi walimkava mwenzie ili aendelee na ulaji wa misafara ya JK na kumtia ndani mpemba huyu ambaye alilalamika kwa kusema, "yaani kugongwa nigongwe mimi halafu nawekwa ndani inshallah Mungu anaiona hii".

Basi baada ya siku mbili yule dereva wa msafara alibadilishiwa gari na kupewa ya matangazo kwenye msafara na wakiwa njiani alianza kijisikia vibaya hadi kushindwa kuendesha gari na kusaidiwa na mwenzie na hali yake ilikuwa mbaya hadi alipokimbizwa hospitali ya mission Itigi kabla ya kuletwa Muhimbili kwa ndege ambapo alifariki dunia juzi usiku.

Ama kweli malipo humu humu duniani..

...O lalaaa.... MUNGU WA SIKU HIZI SIO MZEE NI KIJANA HATANIWI WALA HATISHIWI NYAU ............. HUU NI MWANZO TU ..... SALA ZA ALIEONEWA MBELE ZA MUNGU USIPIME .....
 
kama ndio hivyo mbona mafisadi wanadunda mpaka leo? au Mungu maombi yangu anaya treat kama spam?
wew arsnl WENGA mbona ivo?mungu natreat maombi yako km SPAM?mh ata km ni expression si kiivo jaman wewe vibaya hw come useme mungu anatreat maomb kama spam?MPAKA APO ULPOFIKA ?mafanikio uliyonayo?afya njema aliyokupa?
ebu acha lugha i bwana siyo nzzuri mungu ananakupenda na awez kutreat maomb yako km spam na ndo mana amekutoa kule kakuleta mpaka apo ulpo ......ustumie lugha km i tena sawa baba?cz ni mbaya mungu atakupiga kofi kujastfy statement yako.....sijaribu kukufundisha nini cha kusema sema najaribu kusema nilichodhani ungepaswa kusema bt in any hw m soryy km nimekukwaza bt ni i lugha yako tu ndo ilinikwaza........n 2b specific km ulimanisha MAOMBI TOWARDS MAFISADI TU NDO ANAYATREAT KM SPARM .....UKO MISJUI BT KM ULIMANISHA MAOMBI YOTE ANAYATREAT KM SPARM THEN NDO IVO WARAKA APO JUU
MSALIMIE WENGA!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa nini na sisi tusiungane na Mpemba huyo kuiombea CCM mabaya, yaani ife kifo cha Asili tusikie na sauti za wengine,,,,,, kumbe inawezekana.

Nipatie mawasiliano ya mpemba huyoo atusaidie hiyo dawa
 
ingekuwa ukimuua mwenzako kwa uchawi nawe unaishi milele bac ingekuwa dili bali ss kila nafsi itaonja mauti leo unamloga mwenzio unamweka pending mana siku zake zilikuwa bado matokeo yake siku yako ikifika atakwenda kukulipizia na ww kwani atakuwa mwenyeji uko
 
Back
Top Bottom