klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
Dah! pole sana bidada
Asanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.
Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....
MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo
DA
Taarifa za kifo chake kipo uzi upi mkuu?? Nimechek profile nakutana na RIP dahNimejisikia kupitia nyuzi zinazokuhusu......... upumzike kwa amani
si walisema umefariki Dada au sio weweAsanteni sana wote mlionipa pole tumemaliza mazishi na leo ndo nimreport kazini.
Mungu awabariki sana na kuwaongoza katika kila jambo.....
MJ1 Thanks dada uwe na moyo huo huo
DA