Dena Amsi

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapendwa wanajamvi

Ninaomba tujumuike pamoja na dada etu Dena Amsi katika kumfariji kwa kumpoteza Bibi yake Mzaa Babake, aliyefariki jana Dar Es Salaam. Msiba upo Binju A shuleni.

Pole Dada mlimpenda Bibi lakini MUNGU amempenda zaidi. Yeye alitoa na ni Yeye aliyetwaa, JINA lake lihimidiwe. Amen
 
Ndo mji gani huo??! amen!

kama wewe si mkazi wa dar es salaam si lahisi kujua ilipo. Bunju ipo maeneo ya tegeta kama unaenda bagamoyo ukitokea mjini.
Pole zangu zimfikie dada Dena Amsi, na Mungu ailaze roho ya bibi dena mahali pema peponi. Amen.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Dena Amisi, Mungu alaze roho ya bibi yetu mahala pema. Let's be strong and believe that ipo siku tutaonana tena, kwa nguvu zake Muumba. Ameen.
 
Naona umebadili na avatar..haya bwana mi nimerudi kivingine baada ya kutandikwa ban mbk oct..(am sore rr) hata fb sikuoni B52..

wako mtiifu T'Hata..
Batta Hb Boy Nimetaka kukuadd tena ila kila nikikuadd friends wamejaa....
Nitumie request niaccept
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom