Demu wa Kimarangu noma

Jana wamachame, leo wamarangu, kesho wakibosho, keshokutwa wakirua!!
Jamni hamuwachoki hawa dada zetu?
 
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.

mvuto huna na pesa huna ndo maana!
 
Senkyuu Lizzy.....huyu jamaa anawadhalilisha sana hawa shemeji zangu
Crap ni ulichoandika hapa!!

Tabia ya mtu ni ya mtu na sio ya kabila...kwahiyo acha na ulimbukeni wa ukabila.Wanawakekwa wanawake kibao wanaomba omba huko mjini wakati hata Marangu hawajahi kupasikia alafu unaleta tuhuma za kijinga hapa.
Si ungesema tu baadhi ya wadada wa siku hizi?!Eti kisa Mmarangu...muone vile!!
 
VIvian Hapa mpaka ameshindwa kujua ajitetetee vipi ikamlizimu kurusha blank....
B2aJPKyTfEjaAAAAAElFTkSuQmCC
 
hawa ndo wanawatia doa wasichana weupe hadi wanaanzishiwa thread.hawa watu moumer.waone hivyo hivyo.lakini wanapenda sana kusali.mia
 
Sasa wewe ndugu kuingizia kakupiga mzinga una mind nini?kwani huyo ni dadako hadi akuonee huruma?wewe alitegemea huo mzinga ampige nani?wakati wewe ndio ulioingia?vizuri gharama kaka
 
achana na hizo ishu mara demu wa kimarangu, mara wa kihaya, siku nyingine wa kinyakyusa na kimachame. basi kila mtu aoe kabila lake. make nkianza kuwasikiliza ntakuwa sioi. kila sehemu kuna watu wazuri na wabaya wa sura natabia pia.
 
Kaka ukiona wapendeza wanagaramiwa ati! umezowea kutengenezewa? sasa kama hata za saloon humpi sio kwamba alitumia tu lugha ya kiutu uzima?
 
ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.


achana na changu huyo
 
Crap ni ulichoandika hapa!!

Tabia ya mtu ni ya mtu na sio ya kabila...kwahiyo acha na ulimbukeni wa ukabila.Wanawakekwa wanawake kibao wanaomba omba huko mjini wakati hata Marangu hawajahi kupasikia alafu unaleta tuhuma za kijinga hapa.
Si ungesema tu baadhi ya wadada wa siku hizi?!Eti kisa Mmarangu...muone vile!!

Ebu mwambie coz naona ana ugonjwa na makabila ya watu.
 
Hv Mmarangu ni kabila ama sehemu??

Mkuu ukiwa haujafika huko utajua wote wanaotokea Moshi they are just chaggas lakini ukifika huko unakutana na further cetegorization wale wanaotokea Machame wanaitwa wamachame,Kibosho(wakibosho),Marangu(wamarangu) etc,etc.Una swali lingine?
 
hahahahhahaha tondo lyi la kwi wai.. Isembo kapisa.

aise starehe gharama babangu. we kama ulitaka upite tu ndo umefungwa kipelyu kyapho. ahahahhahahahhahah usione vinaelea ahahahha jua vina upepo kama boya. wa kuvijaza..... ahahahhahahahaha malizia mwenyewe.

vipi yakhee ulitaka wa kukuwekea maji ya iliki bafuni na kubebwa kidezodezo eeeh. lazima ugharamie aiseee.

alafu chaliaangu inaonekana we bado mtoto sana eeh. maana hujui kama wasichana wa kileo pesa mbele ati. awe mchaga au mkurya. kama mfuko umepwaya si useme tu bana. huna tembo card master card afu unataka kuparamia warembo. jipange upya aisee
 
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.

Moja mlikutana wapi ni huko marangu
Mbili alikwambia anaishi wapi na kwa nani
Tatu ulithibitishaje ni mmarabgu teh teh anaishi obay hatembei kwa miguu
Ebwana acha kugeneralize. Sifa yao kubwa ni kuwa hawapendi kuonekana wana shida za kijinga jinga sasa wewe huyo ulimtoa wapi. mzee asije akawa mchina. Au ana kutest kama we ni sharobaro au unatafuta pesa kwenda mbele au toa toa akupige chini aone kuwa wewe ni zu.....ba...zu
 
kweli hawa mademu wa kimarangu ni soo wanapenda sana kuomba omba. Ukimtokea tu siku hiyo hiyo anakubali then kesho yake tu atasikia.....jamani kuna ndg yangu ana shida ya elfu.xxxx naomba unisaidie..crap.

nikweli kabisa kuna binti wa marangu aliniambia kwao ni wamaeneo ya msae nilikutana nae kwenye basi la dar express siku moja nikitokea arusha kuja jiji sasa baada ya kubadilishana namba siku ya pili kanaanza kuniambia naomba vocha ooh! Kunajambo muhimu nataka kulifanya ila nimekosa hela coz dady wangu kasafiri na hana mawasiliano naye so nikampa 50,000.00 the following week ananiambia why don't we go to bagamoyo this week weekend. Mmh! Nikafikiriaaaa nikasema au nikwavile nilimweleza kuwa nafanya kazi ofisi fulani nini?
Namshukuru mungu the follwing friday nilipata safari ya kwenda nairobi na ule ndo ukawa mwisho wa kuwasiliana naye.

So i support kwa 120% mademu wa kimarangu ni nooooma!
 
Back
Top Bottom