Demu kanibania malove-davi!

Problem is, Childish! Is just a minor silly ! Worthless material so far !
But "utaacha ukikua".

ok, unataka nitafute mashori nikiwa kibogoyo!! ha ha ha ha! worthles material bt u a still reading! hapo yupi hamnazo? aliyeandika topic au aliyesoma!? ndo maana nawaambia hazipo kabisa!
 
ok, unataka nitafute mashori nikiwa kibogoyo!! ha ha ha ha! worthles material bt u a still reading! hapo yupi hamnazo? aliyeandika topic au aliyesoma!? ndo maana nawaambia hazipo kabisa!

Pole dogo! Hua simfukuzi ...............! Mbio aliyekwapua nguo zangu wakati naoga!. We tena ongeza spidi na nguo zangu. Mie sibanduki mtoni hadi watakapotokea wasa wa maria watani'rescue hata kwa upande wa gazeti nitajifunika.
 
ungeipotezea kama vp! kwani thread zote lazima usome! a u jf chief editor! ha ha ha! network z loading!

Kwani unavoandika hapa thread ni lazima isomwe na kina nani?? Tuweni wastaarabu jamani, mtu akikwambia kitu cha msingi kitilie manani na sio kuleta ujuaji!!! Yawezekana we ukajiona mjanja na wakisasa zaidi kwa style yako ya maneno , na mikwala ya kuniambia nipotozee.......lakini ukweli ndio huo! Hizo lugha mnazotumia zinakera sana tu, sio busara na hamtendi haki. After all zinapunguza kabisa ari ya kutoa ushauri stahiki, siwezi kupotezea my dear nitasema kila nionapo umuhimu wake!!!
 
aaah nyote hamfai, ukiuliza umri ako kabinti ni under18, achaneni na mbakaji uyo, keko ndo makazi yake
 
Afadhali umekuja tuchakachue hii kitu.

Kiporo cha pilau kilikuaje?

Umewahi kunisemea ! Tuondoleeni hivi VIAZI hata huko kwenye Siasa mimi mbona sivionagi viazi sampuli hii ! Unashindwa kujua Mbatata au vikuu!
 
ok mpo sahihi kabisa, mtumie majina yenu matatu mliyopewa na wazazi wenu kama mfanyavyo kule facebook! mnajua kabisa hapa ni mashudu tupu! nani aandike jina wakati topic aliyoandika -nmefumaniwa masela-?? au demu wa mshkaji ni noma masela??
 
ha ha ha, mh temba alishasemaga kwenzi moja manundu elfu moja!
 
ok mpo sahihi kabisa, mtumie majina yenu matatu mliyopewa na wazazi wenu kama mfanyavyo kule facebook! mnajua kabisa hapa ni mashudu tupu! nani aandike jina wakati topic aliyoandika -nmefumaniwa masela-?? au demu wa mshkaji ni noma masela??

Hapa hakuna MASHUDU....This is a home of GREAT THINKERS!!! #Sorry!
 
Umewahi kunisemea ! Tuondoleeni hivi VIAZI hata huko kwenye Siasa mimi mbona sivionagi viazi sampuli hii ! Unashindwa kujua Mbatata au vikuu!

Mwanaume mwenzio huyo, mrekebishe tujue kweli wanaume mnapendana.
 
ok mpo sahihi kabisa, mtumie majina yenu matatu mliyopewa na wazazi wenu kama mfanyavyo kule facebook! mnajua kabisa hapa ni mashudu tupu! nani aandike jina wakati topic aliyoandika -nmefumaniwa masela-?? au demu wa mshkaji ni noma masela??
Ukichanganyikiwa jaribu kutuliza akili badala ya kuendelea kucharuka.
 
Huna haya, nenda kempsky kuna wadada wakal one night stand afu ondoka, shda yako si penz, afu toka kwa manz mkal, afu si unaela..achana na dada wa wa2, kawafate wanaotaka kumegwa..ni hayo 2..(play safe)
 
Back
Top Bottom