kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 365
ndo maana nasema MMU imevamiwa na "watoto"..What up jf, how waz xmas? op was ok! katika heka heka za maandalizi ya xmas nkakutana na manzi m1 mkali, nkampiga somo akalielewa kama wanafunzi wanavyoelewa reproduction katika biology! ila wasi wasi wake hataki nimwache! na mimi niko ki-butterfly zaidi! afu mbaya manzi ka-draw attention mazima! eti nisubiri mpaka next yr nikusome zaidi! nmkaribishe geto nmle kwa nguvu nn?