Demu kanibania malove-davi!

ldd

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
790
128
What up jf, how waz xmas? op was ok! katika heka heka za maandalizi ya xmas nkakutana na manzi m1 mkali, nkampiga somo akalielewa kama wanafunzi wanavyoelewa reproduction katika biology! ila wasi wasi wake hataki nimwache! na mimi niko ki-butterfly zaidi! afu mbaya manzi ka-draw attention mazima! eti nisubiri mpaka next yr nikusome zaidi! nmkaribishe geto nmle kwa nguvu nn?
 
Kwa hyo unataka kumbaka sio?
Mwambie kabla hajamwita geto aende pale keko akawatembelee wafungwa aone life likoje then arudi geto ampe mambo huyo mdada kwa nguvu....ataona km KEKO au Segerea kuna JF.....Hahaahhahaaaa
 
Hivi nyie vijana mbona mna dharau kiasi hichi?? Mnaboa sana na hizi lugha zenu kwakweli.......tena mnakeraaaaa!!
 
pandisha kwanza suruali maana karibu inaanguka.
Afu huo mkono unaourusha rusha kama unaimba utulize maana wengine ni wazee humu.
Afu vaa shati hako ka singlend kachafu, bora uve shati.
Huto tu nyama twa kifua chako hatutoshi hata sambuza 2.
 
ha ha ha acha dharau men, nweza nkawa fiti kimapato zaidi yako!
 
Hivi nyie vijana mbona mna dharau kiasi hichi?? Mnaboa sana na hizi lugha zenu kwakweli.......tena mnakeraaaaa!!

ungeipotezea kama vp! kwani thread zote lazima usome! a u jf chief editor! ha ha ha! network z loading!
 
Back
Top Bottom