Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
hii machine amenunua jamaa yangu, haisomi cd, wala cd rom haionekani kabisa. tumejaribu kubadili cd drive lakini hakuna kitu (wala haiombi instalation.....ng happens!!!), tumejaribu kubadili cable lakini wapi!!!!....kimya. Tunaomba msaada kutoka kwa wataalamu, au mtu yeyote mwenye kuhisi hii mashine inaumwa nini.
Asante
Asante