Napenda kupendekeza kwa Mama. Hayo maendeleo pekee haita kuwa sababu ya watu kukusamehe kwenye sheria mbovu za chaguzi hasa kama vyama vikuu vya upinzani vitagomea uchaguzi. Ukweli ni kwamba huko ndiko tunaelekea. Hao wanao kudanganya mambo yatakuwa powa sio kwako ni kwao. Mambo hayatakuwa powa.
1. Kwanza wakigomea uchaguzi washiriki watapungua
2. Heshima yako itashuka kwa wananchi na kimataifa
3. Utaacha historia kama mwizi wa kura. Hata kama wengine hawatafikiri ni fair lakini huo ndiyo ukweli
4.Itakuwa vigumu hata kufanya katiba baada ya chaguzi maana nani atakuamini?
5. Mashindano ya mridhi wako yataanza baada ya chaguzi na kama chaguzi zimegomewa dharau kwako itakuwa kubwa hata ndani ya CCM.
Hii step ya tume huru ni ndogo sana na kama hili limekushinda kukubaliana na wadau wengine utapata shida sana mwaka huu Mama. Nashauri rekebisha sheria zote za chaguzi, tume na wape wadau wa demokrasia wanauotaka ili kama kushinda ushinde kihalali na kuweza kupeleka nchi mbele. Mnayofanya kwa sasa hayasaidiii nchi yetu. Hutaweza kuendeleza nchi na chama kimoja pekee huo ndiyo ukweli.