DCI Manumba: Kuna tishio la al-shabaab kushambulia Tanzania...

Status
Not open for further replies.
Tuachane na mambo ya alshabaab..tujilinde tu....kwani wakati tunapigana vita Uganda,msumbiji,Comoros ,Zimbabwe,south Africa ,Namibia,re union etc ...hakuna aliyetusaidia sent..........wacha Wakenya nao wayape mazoei majeshi Yao ..they have never been in the serius war business ...and they are well equipped ..wacha wafanye mazoezi....though kupigana na alshabaab kikundi cha ugaidi kwa kutumia jeshi ni strategically wrong ...wale wanatumia ugaidi...so simply Kenya were supposed go make counter terrorism strategies and not to wage a total warfare ....
 
Police kukubali kutumika na ccm kwa manufaa ya ccm na baadae kutupwa kama toilet paper mnajiona wa maana hee! Huku nyumba zenu mnazoishi ni maghofu yasiyotegemewa kuishi binadam lakini leo hii mnaishi na familia zenu, lakini nyie hamlioni mnazidi kuikumbatia ccm, wenzenu akina kova wanaishia kuchukua madau makubwa huku nyie mkitaabika wakati wa kubadilika ndo huu msikubali kutumika wala kudanganyika
 
Amewaomba watanzania wawe macho na tishio la kushambuliwa kwa nchi yetu...bila kusema tujihami vp tukae nyumbani tu au tufanyaje....

Manumba, hebu tujuze yafuatayo,

What is the motive for the attack against us? usiwe unaropoka tu.

Wawe macho kwa vipi, wasilale?

Polisi ndio kazi yao kwa nini wasaidiwe na watanzania, je mwisho wa mwezi polisi watakubali tuwasaidie mshahara?
 
3.jpg
 
Mungu atulinde na balaa hii. ni yeye pekee asiyewezekana na asiyeshindwa. sisi ni kujishaua. kwa uwezo wake wasifike humu mwetu na siyo kusema hawatuwezi. amin
 
Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai Nchini, DCI Manumba amesema kuwa Al-Shabaab hawawezi kuishambulia Tanzania kwa sababu ina jeshi imara na mfumo bora wa intelijensia. Lakini pia amewataka wananchi kutoa ushirikiano pale wanapoona hali ya usalama inatishiwa na watu wasiofahamika.
Manumba amesema hayo kufuatia mashambulizi ya mfululizo ya wanamgambo wa Al-Shabaab yanayofanywa nchini Kenya.
Source:TBC News buletin,0800Pm

Je, kauli hii ya Manumba ina umakini wowote,na ni ya kuitumaini kwa kiasi gani?

Where was our "good" intelligence when Al Qaeda were for months planning to blow up the US embassy in 1998?
Where was our "good" intelligence when the foreign mining companies were forcing or manipulating our state attorneys and government officials to sign those bogus minning agreements resulting to the government of Tanzania getting only 2% of the royalties/revenue???
 
Al-shababy hawampigi mtu bila kuchokozwa..!! tuliona uganda walivyojidai vimbelele wakadundwa and nw kenya..!! Hebu atuambie kama jwtz wameenda kuwasaidia wakenya kimyakimya tuanze kuchimba mahandaki..!! Au ni danganya toto kesho tusiandamane..!!
 
Tuachane na mambo ya alshabaab..tujilinde tu....kwani wakati tunapigana vita Uganda,msumbiji,Comoros ,Zimbabwe,south Africa ,Namibia,re union etc ...hakuna aliyetusaidia...so simply Kenya were suppose
Mkuu, umeongea sawa. Lakini kufanya counter terrorism ni kuzidisha ukubwa wa shida.
 
Mimi kwa muda wote wakuwa Dar es Salaam nakumbuka wasomali niliowahi kukutana nao mitaani hawafiki ishirini, ukiondoa wale tunaowafahamu kama akina Kinana na Rage na yule jamaa mmiliki wa ile hotel ya bagamoyo iliyoungua. Ili uwe Alshabaab ni lazima utokee Somalia sasa Intelligensia ya kina manumba huwa inafanya kazi pale tunaposikia kuna maandamano tu?, Je mikusanyiko ya kwenye matamasha, vyuoni, sherehe mbalimbali za maadhimisho ya miaka 50 ya ukandamizwaji wa uhuru wa kukusanyika na kutoa mawazo yao wa wananchi hatusikii kitu?
 
Wako wapi hao al shabab waje waonje matone ya damu na hapa kwa wadanganyika kama wafanyavyo kule kenya.!!?
 
Wakuu Labda I am being naive hapa... But mpaka sasa sijaona ni kwa nini hata hawa Al-Shabaab wanatajwa ni relation na nchini kwetu... Najiuliza; is it because wamereact (Al-Shabaab) towards Kenya baada ya wao Kenya kupeleka troops Somalia in the name of hunting them down?? OR is it because kweli kuna some smell of iffy trouble toka Al-Shabaab hapa Tanzania??.... Na haya maswali nayapata simply tokana na the fact kua hao Al-shaabab have been there for almost seven years bila hiana na inchi za jirani.... Je is the story ya sababu ya Kenya kupeleka troops Somalia genuine??.... Mwenye majibu haya... I will appreciate....
 
Wako wapi hao al shabab waje waonje matone ya damu na hapa kwa wadanganyika kama wafanyavyo kule kenya.!!?


Mkuu unashadadia waje hapa waonje matone ya damu...Hata kama kweli nguvu na uwezo tunao, Huo uvamizi gharama ya uendeshaji wa hio pesa si bora iende sector nyingine... Hatuna umeme... Msingi wa Elimu wa kijinga kabisa na mambo mengine kibao!!
 
Amewaomba watanzania wawe macho na tishio la kushambuliwa kwa nchi yetu...bila kusema tujihami vp tukae nyumbani tu au tufanyaje....
Hawac wana usalama mbona hawaeleweki, Yaani kwa kipande hicho cha taarifa si ni kama anatuagiza tuchukue Sheria mkononi?
Intellijensia yake inaishia kwenye ka taarifa hako tu?
Anyway poa....asubiri majibu yake...
 
Mwakyembe si alishawatajia hao Al-sha ninni sijui na akataja hadi namba za magari ya Polisi yaliyowababa na kuwasafirisha na maafisa usalama waliowapokea?
Mumewaita, mumewapokea na mumewahifadhi halafu munaanza kututisha sisi alaa?
Au kazi yao wameifanya kinyume na makubaliano na hivyo mutofatiana katika malipo so wamewaambia kuwa watalipua, ndiyo mnajifanya et intelijensia yenu imegundua? Ugunduzi gani huo wakati mlikuwa meza moja mkitunishiana misuli.
 
mkurugenzi wa makosa ya jinai nchini, dci manumba amesema kuwa al-shabaab hawawezi kuishambulia tanzania kwa sababu ina jeshi imara na mfumo bora wa intelijensia. Lakini pia amewataka wananchi kutoa ushirikiano pale wanapoona hali ya usalama inatishiwa na watu wasiofahamika.
Manumba amesema hayo kufuatia mashambulizi ya mfululizo ya wanamgambo wa al-shabaab yanayofanywa nchini kenya.
Source:tbc news buletin,0800pm

je, kauli hii ya manumba ina umakini wowote,na ni ya kuitumaini kwa kiasi gani?

tatizo la akina manumba kila kitu wanafikli ni chadema kila kitu ni kuongea kuwapendezesha mabwana zao aache mchezo al shabab hawa ni watu wasio na cha kupoteza, kenya wameenda pupa sasa wanajuta kwani al shabab operatives siyo wasomali wakija hapa, unakumbuka osama alitumia mpemba yule, ebu tazama tuna vijana wangapi ambao wako hoi hapa ambao wapo mtaani hao ndiyo wanasubiliwa kuwa recruted na el shabab, aaache utani manumba
 
@Ashadii,
Kwa akili za harakaharaka, wanasiasa watatuponza kwa kauli zao za kuuza sura kwenye screen za tv. So long hatuna tatizo na hao wanadume(alshabaab) hakuna sababu yoyote kuanza kutoa statement kwny ma-tv!
Well, sifahamu visa kati ya Kenya na Somalia, lakini agitating these dudes just for personal prestige alarms me!
 
intelejensia yetu haiko makini.kama kundi la wasomali wanakatiza kutoka arusha hadi ruvuma bila kukamatwa wala kutiliwa shaka na beria zilizojaa barabani umakini upo wapi?tuombe Mungu azidi kutulinde tuachane na polojo za intirejensia.mia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom