DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

ccm pamoja na mkuu wa wilaya wote wana mahitaji ya kuona leo na si vingine kumbuka sasa hivi kuna matatizo ya wanafunzi wa chuo kikuu wamepata mikopo na wengine wengi wao hawjapa na serikali inadai haina hela je za kutoa rushwa zinapatikana wapi ila za elimu hazipo dah vasco dagama yupo usa anakula gud time shiiiiiiit kabisa mkweleeeeeeeee.
 
Mkuu usipoteze nguvu zako bure kumuelimisha huyo kijakazi wa Nape. Hawezi kukuelewa anatumikia 55,000 per day.

Kama sio mambo ya multiple Ids asingekuwa anaendelea kuchangia hapa JF. Siku ile dc aliponaswa isakamaliwa akiwafanyia kampeni magamba, jamaa alilipuka hapa kwamba chadema wamemvua nguo, hadi suruali amefanya kuazima. Picha zilipotua hapa na kuonyesha kwamba dc ni mwanamke jamaa alipotea jukwaani ghafla hadi leo haonekani. Baada ya kutoonekana ndio ameibuka huyu philanderer akiwa na ujumbe ule ule!!

Wewe uliingia Chadema ili upate ujumbe Vingunguti. Tena kuna kashfa kubwa sana umefanya ili ushinde Vingunguti. Hata Aweda naye ameacha matatizo mengi sana Ubungo. Subirini sasa mtapata majibu yake muda si mrefu.
 
EWE KIJANA WA KITANZANIA POPOTE PALE ULIPO TUWE CHACHU YA AINA YA MABADILIKO TUNAYOYATAMANI KUYAONA - YOTE YAWEZEKANA KWA DHAMIRA THABITI, JUHUDI ZISIZOLEGALEGA NA MAWASILIANO KAMA HIVI

Vijana wenzangu kote nchini na hasa hapo Igunga, yatupasa tena ni haki kuelewa kwamba MABADILIKO YA KISIASA si sawa na pishi la ubwabwa kusubiri mtu akupakulie. Mabadiliko mtu hujiletea mwenyewe kwa kuzingatia dhamira safi, juhudi mahususi na za pamoja na sala kwa Mola wetu kutusaidia.

Hakika ni vigumu sana tena watu wa NDUMBA kuwashinda wa ambao tegemeo lao pekee ni Mungu. Hivyo, aibu itakayopatikana kwa CCM Igunga na uchaguzi wa madiwani nchini itakua ni fundisho tosha na wa ki-historia kwamba kumbe FEDHA wakati mwingine hukosa thamani mbele ya walazwahoi KUDHAMIRIA KUTAFUTA HAKI kwa udi na uvumba.

Kila kijana wa taifa hili, popote pale ulipo (hata na nyinyi wenzetu mliobahatika kazi hapo Makumbusho/Kijitonyama), taifa hili linatuhusu zaidi na vizazi vya baadaye kuliko akina Rostam Aziz hivyo cheza nafasi yako kisawasawa tena bila ya woga wowote ule; mabadiliko makubwa yaja na sisi hapa haswaaa ndio chachu ya mabadiliko tunayoyatamani nchini.

Nadhani wengi kamwe hawatoamini jinsi gani mende watakavyoangusha hichi ki-kabati cha zamani CCM kilichojaa kila aina ya uchafu , ufisadi, zuluma na fitina dhidi ya walalahoi nchini.

Kama wewe ni mmoja kati ya watu wenye imani haba juu ya mabadiliko makubwa ajabu kuwahi kutokea nchini tena kwa juhudi za vijana wenyewe basi ni vema ukaanza kujiandaa vema kisaikolojia kushuhudia CCM na viongozi wazulumishi watakavyoanguka zaidi ya mti wa mbuyu uliooza mizizi yote hivi karibuni!!!!!!!!!!

Mkuu, hamasisha wana Igunga wenzako kikamilifu ili kuhakikisha kwamba hilo Lundo la viongozi na hao green guards wanaondoka Igunga Kwa aibu( ikiwezekana usiku) kabla matokeo hayajatangazwa. Hii ni nafasi muhimu kwa Wana Igunga kuliweka Taifa katika mwelekeo unaofaa.
 
Wewe uliingia Chadema ili upate ujumbe Vingunguti. Tena kuna kashfa kubwa sana umefanya ili ushinde Vingunguti. Hata Aweda naye ameacha matatizo mengi sana Ubungo. Subirini sasa mtapata majibu yake muda si mrefu.
Naona naendelea na haya tu!!!
crap.gif
 
Wewe uliingia Chadema ili upate ujumbe Vingunguti. Tena kuna kashfa kubwa sana umefanya ili ushinde Vingunguti. Hata Aweda naye ameacha matatizo mengi sana Ubungo. Subirini sasa mtapata majibu yake muda si mrefu.

Naona unaendelea kutapatapa tu hapa, ili nape akipita usiku wa manane kwenye forum akute umepost nyingi, huenda ukapata na malipo ya ziada.

Jinsi ulivyo wa ajabu hata hujui mimi nimechaguliwa kwa nafasi gani ndani ya chadema na eneo gani. Hili ndili tatizo la kuwa addicted na madesa, hata jambo dogo kama hili unahitaji kutumia desa, halafu uje kujishebedua kwamba una gpa ya 4, sasa inakusaidia nini??

Hongera kwa kuamua kutumia kiswahili tangu ulipopokea ubatizo mpya, unajitahidi sana kutumia lugha ya taifa. Bila shaka ukimaliza kazi utarudia jina lako la zamani na lugha ya malkia kama kawaida.
 
Hawa Ma-DC kada wa CCM mwisho wao ndio huo umewadia; watu kuja kutuma maombi ya kazi na kushindana na wengine na wala si kutumia kodi zetu kuwanenepesha hawa wana-CCM kwa kuwa Utumishi wa Umma ni dhahiri umewashinda.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.

Ndugu yangu hicho ni kifungu gani nikisome, inaelekea mimi ni mbumbu wa katiba. Naomba kifungu tafadhari.
 
Huyu hakushuhurikia vyema, walimgusagusa tu ndio maana anapata kibri, natamani angekuwa arusha tungemgusa vizuri
 
Kamanda hapo kwenye red, kulalamika zama hizi hakutawasaidia kitu chechote, mungeangalia uwezekano wa kuchukua hatua kwa mfano kulipiga kiberiti hilo jengo, otherwise mtakuwa kama mnampgia mbuzi gitaa. Kama mmefikia kuweza kupata habari kama hii ya kuwa na wakina mama kwenye jengo hilo, mnashindwa vipi kwenda mbele zaidi na kuwapiga moto ndani ya hilo jengo. Sijui kama umenipata? mnatakiwa muanze kufikiri kwa jinsi hii sasa na sio kulalama tu kila siku. Tena kwa kuongezea na tukiwa wakweli wa nafsi zetu tukiacha unafaiki ni kama mnalazimwisha kufikiri kwa jinsi hii ingwa sina hakika kama na nyie munaliona hilo.

Teh teh mkuu me nadhani twahitaji kumwaga watu wetu wa techno hama ili kurecord everything na kuumwaga ushahidi mahakamani ili tujue tena kama TV ya Taifa TBC1 itasema tena alikuwa kwenye shughuli za kikazi which mean za serikali
 
Ndugu yangu hicho ni kifungu gani nikisome, inaelekea mimi ni mbumbu wa katiba. Naomba kifungu tafadhari.

Wewe siyo 'mbumbu' wa katiba tu ila ni 'mbumbu' hata wa kiswahili. Naomba urudi darasani 'tafadhari'
 
Teh teh mkuu me nadhani twahitaji kumwaga watu wetu wa techno hama ili kurecord everything na kuumwaga ushahidi mahakamani ili tujue tena kama TV ya Taifa TBC1 itasema tena alikuwa kwenye shughuli za kikazi which mean za serikali

Hukumu ya kesi ikiwa 2016 huu ushahidi wako wa teke nyundo utakusaidia ni nini? Maana yake ninavyojua lolote lawezekana, hebu nikumbushe kesi za kupinga baadhi ya chaguzi za wabunge 2010 zimefikia wapi? Lazima nikiri ninatatizo la kuweka kumbukumbu ya mambo yanayokuwa in suspense kwa muda mrefu.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.

Bora zaidi kuwa mvivu wa kusoma kuliko kuwa mvivu wa kuelewa kama wewe. Utakesha kila mausiku unasoma tu lakini kuelewa hakuna na mwisho utaishia kukariri (Void brain).
 
Wewe siyo 'mbumbu' wa katiba tu ila ni 'mbumbu' hata wa kiswahili. Naomba urudi darasani 'tafadhari'

Afadhali ya mbumbumbu wa kiswahili kuliko kuwa mbumbumbu wa kuwatumikia kina nape wakati wenzio wanakula gud tym we unakuja kuttpandisha hasira hapa jf
 
kweli magamba kama kufikiri kwenu ndio hivyo basi kasi ya vijana wapenda mabadiliko itakua ngumu kuendana nayo.vazi haliwezi kua kinga yako kufanyia maovu.kwahiyo mwizi mkristo akiiba alafu achomwemoto akiwa amevaa kanzu au hijabu hapo itakua vipi jamani?? Huyo dc ni mpumbavu mwingine anae tumia masaburi katika majukumu yake yakilasiku.
 
Afadhali ya mbumbumbu wa kiswahili kuliko kuwa mbumbumbu wa kuwatumikia kina nape wakati wenzio wanakula gud tym we unakuja kuttpandisha hasira hapa jf

Sasa ni afadhali kuwatumikia kina Nape kuliko kujifanya unaipenda Chadema wakati mtu mwenyewe hata siyo mchagga.
 
Back
Top Bottom