DC aendelea na kuifanyia CCM kampeni Igunga

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Jan 22, 2011
1,221
1,788
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
 
Kamanda hapo kwenye red, kulalamika zama hizi hakutawasaidia kitu chechote, mungeangalia uwezekano wa kuchukua hatua kwa mfano kulipiga kiberiti hilo jengo, otherwise mtakuwa kama mnampgia mbuzi gitaa. Kama mmefikia kuweza kupata habari kama hii ya kuwa na wakina mama kwenye jengo hilo, mnashindwa vipi kwenda mbele zaidi na kuwapiga moto ndani ya hilo jengo. Sijui kama umenipata? mnatakiwa muanze kufikiri kwa jinsi hii sasa na sio kulalama tu kila siku. Tena kwa kuongezea na tukiwa wakweli wa nafsi zetu tukiacha unafaiki ni kama mnalazimwisha kufikiri kwa jinsi hii ingwa sina hakika kama na nyie munaliona hilo.
 
Kamateni tena makamanda, hao wanapewa pesa wakaandamane wanawakilisha matumbo yao kwa kujivika uislam, waislam tumetulia tunaangalia namna ya kuleta ustawi bora kwa taifa letu.
 
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Si alidai kabakwa labda anataka tena.
 
Tumeni mabaunsa wenu wamshughulikie.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.

Kama kweli wewe si mvivu wa kusoma ungeshajua kuwa watumishi wa serikali hawaruhusiwi kuwa washabiki wa chama cha siasa. na wanapofanya kazi zao wanapaswa kufuata sheria si potical inclinations zao. AU WEWE NI MVIVU WA KUELEWA????
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Lakini pia sheria hairuhusu kiongozi yeyote wa serikali kufanyia chama chochote cha siasa kampeini hasa kwa kutumia rasimali za umma na mda wa umma nafikiri wewe ni kilaza sana au hujui chochote kuhusu sheria za nchi hii, ni kweli wakuu wa mikoa na wa wilaya wote tunawajua ni wanachama wa ccm lakini cdm wanachokataa ni dc kuendelea kuvunja sheria ya nchi hii. na propaganda hii ya udini ni hatari kwa nchi yetu na kinachoshangaza viongozi wanaishabikia DC alikamatwa si kwasababu ya uislamu wake alikamatwa kwasababu alikua anavunja sheria kinachotia uchungu ni kuona eti bakwatawanasema mwanamke wa kiislamu amedharirishwa je wanataka kutuambia kwamba waislamu ndio waliomtuma huyu mama kufanya uharifu huu? kama sio hivyo wasiwaingize waislamu kwenye ujinga huu wa ccm. waislamu tukatae kutumiwa na ccm. mbona kama wanapenda waislamu na kuwaheshimu hawajatupa mahakama ya kadhi? BAKWATA itisha maandamano ya kudai kadhi sio kujiingiza kwenye siasa kama hizi.
 
Tangu sakata la kukamatwa kwa DC wa Igunga akihalifu sheria chama ca CCM kimekuwa kikifanya propaganda chafu sana,ya UDINI hapa Igunga mjini,jana wilayani Uyui Dc huyu alitoa laki moja hadharani na kulia machozi,huku akiwahamasisha waislama kuandamana kuipinga chadema et alivuliwa HIJAB.Huu ni mkakati mchafu wa ccm,na ni uwendawazimu,kimsingi chadema hatukumkamata huyu DC kwa dini yake,au rangi ya chama chake.tulimkamata kwa kuwa alihalifu sheria,na nguvu iliyotumika kumkamata inakubalika kisheria.
Dc huyu anaendela kuifanyia ccm kampeni,na usiku wa jana alikuwa n a wakinamama(wanawake)kwenye jengo la serikali anakoishi,anatumia kodi za wananchi kuifanyia ccm kampeni.
Mbumbumbu anatumiwa huyu.
 
Katiba ya nchi haimkatazi mkuu wa wilaya kushabikia na hata kuwa mwanachama wa chama chochote cha kisiasa. Tatizo wengi wenu magwanda ni wavivu wa kusoma.
Kinachokataliwa ni kutumia raslimali za serikali kushibikia chama akipendacho. Kwani katikam hiyo mikutano anakoenda bia ya ulinzi kwa nia ya kuifanyia ccm kampeni si anatumia gari la serikali. Huo muda anaotumia si unalipiwa mshahara kwa kodi zetu n.k
 
Kimsingi hali ya ccm hapa Igunga ni mahututi,hata baada ya kuleta lundo la viongozi bado umma wa Igunga umeonyesha dhahiri kuwa wapo tayari kwa mabadiliko
pamoja na vitisho kutoka kwa kundi haramu la green guard,ambalo Nape ameliruhusu kushambulia watu bado wanaIgunga wapo tayari kwa ukombozi.
 
Sasa ndio anafanya nadhani chini ya ulinzi wa OCD wa Igunga maana usiku akilala anaweweseka CDM CDM na hata ofisin akisikia ko! anaruka CDM,

Kimsingi hiyo hoja iandaliwe na ushahidi na ipelekwe kwa msimamizi wa uchaguzi kama itakuwepo haja apelekwe mahakamani maan system haitaki watu hawa wawajibishwe na raia
 
Hii tabia ya viongozi wa kiserikali kutumia rasilimali za umma kwa manufaa ya chama,si ya kuvumilia hata kidogo,ni ufisadi wa hali ya juu
 
Nanyaro songeni mbele tu lile tukio limekuwa fundisho tosha hata kama wakijifanya hawajali lakini kuanzia sasa kabla ya kutenda wanayotaka kuyafanya watakuwa wanajiuliza mara mbilimbili.
 
Kampeni zinafanywa na DC mbaya zaidi ni kampeni za kuwagawa watanzania lakini kila wa Tanzania anakula bata USA huku akiwa ameacha maagizo...inasikitisha sana.................hakikisheni ushahidi unapatikana au mpenyeze watu wenu humo..................
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom