Daruso yote yatimuliwa udsm.

Dawa yao wameipata

Mitoto haisikii, nashauri defenda zifanye kazi kuchalaza yeyote anayeleta fujo:A S-coffee::juggle::poa
 
Masaburi yako wee,hauoni kama demand zao ni za msingi? Nyok.o za.ko

Dah taratibu mkuu watarudishwa wanajaribu kuwa onesha who's da boss .. wataambiwa waandike barua watarudi... Mtatiro hadi selo alikuwa anakwenda lakini mwisho wa siku ali graduate ...
 
Jamani mliosimamishwa ombeni msamaha mrudi chuo na muachane na migomo .kwasababu halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi ambacho ni chama tawala na kinaongoza nchi kikao hicho walipitisha maamuzi kwa mwanafunzi yoyote anayegoma na kupinga madhaifu ya chuo afukuzwe na raia yoyote anayekosoa mapungufu ya serikari akamatwe na kuswekwa rumandd
 
nahizi tetesi kuwa hata dean of student naye kapigwa barua zinaukweli wowote? hii haijawahi kutokea, nailaumua sana bodi ya mikopo.
 
ni kweli daruso imetimuliwa yote na chuo hakuna amani hakuna mwanafunzi yeyote wa undergraduate ajuaye kesho yake, maana kuna defender karibu 20 kila kona jamaa wapo. hali ni tete sijui kesho itakuaje
 
Tusonge mbele jamani na 2015 ndo hvyo inakuja...ongezeni moto mpaka Mkandara aachie ngazi kwa maana anayewaondolea uongozi wenu yamfaa naye aondolewe mara moja
 
ni kweli daruso imetimuliwa yote na chuo hakuna amani hakuna mwanafunzi yeyote wa undergraduate ajuaye kesho yake, maana kuna defender karibu 20 kila kona jamaa wapo. hali ni tete sijui kesho itakuaje

Mh hii nchi haina tofauti na nchi ya kusadikika..kwa hiyo hizo defender zitaingiza watu madarasani?
 
Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
 
Back
Top Bottom