King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,926
- 69,225
Ule ugonjwa ata usipoutibu unapona wenyewe ni kunawa uso tu na soap
Mimi sijawahi kuupata ingawa watu wangu wa karibu yangu wamepata ,wife alipata ,watoto walipata ,jamaa ambaye napiga naye mishe alipata ,dereva wa boda kama watatu hivi wananibeba ila mimi sijapata,majamaa wanaonifanyia kazi shamba boys wawili wamepata ila mimi sijapata.