Dar: Watu 7 wapofuka Macho kwa kujitibu Ugonjwa wa 'Red Eyes' kienyeji

Ule ugonjwa ata usipoutibu unapona wenyewe ni kunawa uso tu na soap

Mimi sijawahi kuupata ingawa watu wangu wa karibu yangu wamepata ,wife alipata ,watoto walipata ,jamaa ambaye napiga naye mishe alipata ,dereva wa boda kama watatu hivi wananibeba ila mimi sijapata,majamaa wanaonifanyia kazi shamba boys wawili wamepata ila mimi sijapata.
 
si ndo hapo sasa, mm nashangaa Mpaka vingozi wa afya wanatia attention kubwaa ya kuogoflaaa, Mwili wenye afya hauwez kukaa na red eye disease zaidi ya week mbili,

Tafuna carrot, matango, maji kwa wingi ebupa vitu ya sukari nyingi basi, sasa watu wanaweka limao kwenye macho😲!!? Unaongeza acidity level kwenye jicho kwann usipofukee
Walitakiwa wanywe na si kuweka jichoni direct
 
Huna akili hata kidogo, kwa hiyo tufungashe mikojo ya punda kama dawa ya kutibu wagonjwa huko mahospitalini?
Jielimishe wewe mshamba.

Huko mahospitalini mnadungwa mpaka vinyesi vya nguruwe na hamlalamiki.

Ukimuona dokta unabinua tako anakudunga sindano lenye sumu bila mbambamba.
 
Huna akili hata kidogo, kwa hiyo tufungashe mikojo ya punda kama dawa ya kutibu wagonjwa huko mahospitalini?
Msamehe alikuwa mdogo hakujua nini kinaendelea, kuna dawa ya kikohozi ilikuwa na rangi kama chai ya rangi, dawa hiyo unapewa hosipitali kwenye kichupa watu wakaipa jina la utani la mkojo wa punda. Ukiugua tetekuwanga ilikuwa unapewa dawa nyeupe ya maji ya kupaka, siyo ya kunywa.
 
Mimi sijawahi kuupata ingawa watu wangu wa karibu yangu wamepata ,wife alipata ,watoto walipata ,jamaa ambaye napiga naye mishe alipata ,dereva wa boda kama watatu hivi wananibeba ila mimi sijapata,majamaa wanaonifanyia kazi shamba boys wawili wamepata ila mimi sijapata.
Wewe una mashambaboi wawili unapanda bodaboda! Hii itakuwa chai ya saa kumi.
 
Tuongee ukweli, Dar es salaam siku hizi imejaa kundi kubwa la watu wajinga, na wachafu.
Huu mji haukuwa hivi zamani, na muda sio mrefu kipindupindu kinakuja
 
Sasa kwanini hawajaweka wazi hizo namna za kienyeji zilizotumika kujitibu zilizopelekea upofu ili watu wachukue tahadhari wakati mwingine?

B... ungenikuta kipofu huku. Mdakuzi
Ni kawaida yetu wa Waafrika, ikitokea tukaambiwa kuhusu dawa ambayo inapatikana bure, basi wala hatuwazi mara mbili. Inasikitisha sana.

Ova
 
Wewe una mashambaboi wawili unapanda bodaboda! Hii itakuwa chai ya saa kumi.

Kwani kuwalipa shambaboys ni milioni kwa mwezi? Kwa week wanalima na kusafisha eneo mara moja wote wawili nawalipa 50k( 25k @ ).

Nikishuka Main road napanda bodaboda kwenda shambani 6km na kazi zangu ni kuchoma mkaa mara nyingi napanda bodaboda.
 
Back
Top Bottom