Dar Lux Services

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
ni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini isipokuwa chache sana plus nairobi na kampala to mention the few. habari nilizozipata toka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo ni kuwa karibuni zitaingia basi 50 kwa kuanzia....
My take: nahisi kuwa hii ndio kampuni inayohusishwa na mkuu wa kaya na hujuma dhidi ya kampuni kongwe na inayolipa kodi, dar express.
source: mimi mwenyewe, mphamvu letsholonyane!
 
Got the name right, inaitwa Dar Lux Bus... ofsi ni ubungo sheli, jengo lenye atm za nmb na crdb...
 
Sa ndo waue biashara
ya mwenzao si wangesaka njia nyingine za kupata soko.hatupandi bwana
wapande wenyewe na familia zao
 
Wewe ndo Marketing Manager wao ama Public Relations Manager wa hao "walipa kodi wakongwe"? Mbona makampuni meengi yananzishwa, hakuna wa kuwatetea wanaokutwa kwenye hizo biashara? Toa huduma nzuri utadumu kwenye biashara: ukilemaa utajua Scandinavian Express kaenda wapi!
 
Sa ndo waue biashara
ya mwenzao si wangesaka njia nyingine za kupata soko.hatupandi bwana
wapande wenyewe na familia zao

i wish watanganyika{Maana gari hili halina route ya zanzibar} wangejua kilicho nyuma ya pazia, ikiwezekana tususie huduma zao.. katika hali ya kawaida huwezi kuwa na basi za kukidhi route zote ghafla bin vuu, kwa haraka kuna route kama ishirini hivi, mara mabasi manne kwa kila route ni gari themanini, mara milioni mia mbili ni bilioni 16. Wamepata wapi heli?
 
Wewe ndo Marketing Manager wao ama Public Relations Manager wa hao "walipa kodi wakongwe"? Mbona makampuni meengi yananzishwa, hakuna wa kuwatetea wanaokutwa kwenye hizo biashara? Toa huduma nzuri utadumu kwenye biashara: ukilemaa utajua Scandinavian Express kaenda wapi!

yamekuwa hayo ndugu? mimi sijakataa kampuni zisianzishwe, ila sio kwa staili hii ya kutumia mamlaka za serikali kuua biashara za wengine!
 
Dar express amefanikiwa cz anatoa service nzuri na baadhi watu wanaoishi Kilimanjaro hawapendi kupanda bus lisilo la mchagga mwenzao

hao jamaa wana uzalendo kama wadosi, (WANARUDISHA PESA NYUMBANI)
 
Hawajui Dar express ni mchaga,biashara asili yake,hakyamungu sijawi ona mkweree akifanya biashara na akafanikiwa,kazi yao ni kutuuzia mafenesi na korosho pale chalinze miaka nenda rudi
akifanikiwa huyu niuweni

Aisee mtori umesema kweli kapisa nami nakupa tano kwani kila ukipita Pale Chalinze hawa wak.were wanauza mananasi tu kuanzia mtoto wa miaka 7 hadi babu wa miaka 90!
 
mzee wangu biashara ina asili yake,siyo kila mtu anaweza kuwa businessman,ile ni talent,career,skill,sio pesa mzee wangu
 
Ama kweli kila mtu anajaribu kulinda maslahi yake, si nasikia Dar exp ndiyo kampuni pekee inayo ongoza kwa kusafirisha madawa ya kulevya sasa wanayoitetea wako upande upi?
 
ni kampuni ya usafirishaji wa abiria mikoani, imeshakamilisha ofisizake pale ubungo sheli, mahali zilipokuwa afisi za allys bus. kwa mujibu wa tangazo lao wanakwenda karibu destination zote nchini isipokuwa chache sana plus nairobi na kampala to mention the few. habari nilizozipata toka kwa mfanyakazi wa kampuni hiyo ni kuwa karibuni zitaingia basi 50 kwa kuanzia....My take: nahisi kuwa hii ndio kampuni inayohusishwa na mkuu wa kaya na hujuma dhidi ya kampuni kongwe na inayolipa kodi, dar express.source: mimi mwenyewe, mphamvu letsholonyane!
Naomba mawasiliano yao ili niwe wakala huku mkoani niliko
 
Hawajui Dar express ni mchaga,biashara asili yake,hakyamungu sijawi ona mkweree akifanya biashara na akafanikiwa,kazi yao ni kutuuzia mafenesi na korosho pale chalinze miaka nenda rudi
akifanikiwa huyu niuweni

Akiweza si mpaka sumatra wawe ma-godfather kama hivi?
 
Ama kweli kila mtu anajaribu kulinda maslahi yake, si nasikia Dar exp ndiyo kampuni pekee inayo ongoza kwa kusafirisha madawa ya kulevya sasa wanayoitetea wako upande upi?

naona una hamu mtoto wa kike, drug traficking unayoizungumzia ni gani wakati dar express wanatoa gari moja tu nje ya siku na kuingiza moja, nairobi-dar. na kama ni usafirishaji wa ndani polisi ndo wanaoongoza kwa kusafirisha na kutoa ulinzi ili yafike salama.
 
..nasikia pia dogo naye anamiliki TSN supermarkets, Dalbit (petroleum transporting company), majengo kadhaa town n amikoani na pia kajinunulia shamba darasa kule mbeya kwa sh milioni 300 tu, shamba kubwa lina mifugo na zana zote za kisasa i.e tractors, graders, bulldozers, combined ploughs, disc harrows, malori, etc... daaaah!
 
Labda yatumiwe kama malori ya kusambazia mafenesi, korosho na machungwa. Route ya Dar-Arusha amekosea sana
 
Back
Top Bottom